Me ilinisaidia kupata ajira ya kudumu,tulikuwa watu km mia 500 usaili wa vitendo huku wakihiijika watu 11 tu.Usaili ulikuwa wa kuendesha chombo fulani nami sikuwa na mchongo na mtu yeyote(connection) nilikuwa 90% ya kukosa confidence kwani niliona km nimekuja kuharibu muda coz siwezi pata,akili ikanituma kukimbilia grocery nikapiga tu-konyagi tuwili chap kabla km dk 10 kupanda chomboni,aisee nilimiliki chombo as if nilikuwa nacho miaka kumi.Anyway majibu yanakuja kutoka mimi ndo all of the best operators tena kwa marks za juu nikiwa na 85% na wa pili akiwa ananifata kwa 60%.
Nina haja ya kumshukuru Mungu lkn pia siwezi kusahau hiyo drink iliyonipa ma confidence ya juu sana.
Sent from my SM-G531H using
JamiiForums mobile app