ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,235
- 2,124
utoto unakusumbua, ukimwi sio kifo, tena bora ukimwi kuliko kansa, kisukari.
Inatakiwa aelewe UKIMWI siyo mwisho wa maisha. Unaweza kuishi miaka mingine mingi na wasio nao wanakufa wanakuacha.