Pombe ilichonifanyia: Ndoto zimeyeyuka nahisi ‘nimeukwaa umeme’, nina hofu huenda nisiishuhudie Tanzania ya Viwanda

Pole mkuu, ila usijali na kujiadhibu sana, you lived the life you wanted, jutia sawa ila maisha lazima yaende, kumbuka nasi LAZIMA TUFE TU...HATA IWEJE..
 
Mimi huwa nasema dalili kuu ya ngoma ni WASI WASI kuna watu hawanielewagi ila hii dalili ni hatari na ina ua kabisa ni hatari sana

VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
MI NAKUSHAURI NENDA KAPIME HIV , ACHA KUJIHIC INAWEZAKANA UNA ...U.T.I SUGU ...MAAANA UTI NAYO INA TABIA AUNDALILI ZA KUBADILIKA BADILIKA KUYOKA NA KUSHAMBULIA FIGO

AU UNAEEZA KUWA UMEAMBUKIZWA , HOMA YA INNI HEPATATIS B , NI UGONJWA UNAOUA HARAKA UNAAMBUKIZWA KWA NJIA YA KUJAMIANA ,JASHO KUGUSANA ,KUPEANA MKONO AU KULALA KWENUE KITANDA KIMOJA

PLEEESE ACHA ACHA KUJIHIC HIVYO ....MAWAZO NDIYO YANAKUMALIZA

KUTEMBEA NA MWANAMKE ALIYEATHIRIKA SIO KIGEZO CHA KUUPATA UKIMWI SAWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aah hakuna kitu hapo ... nilikutana na mkasa kama wako ndugu nilikaa miezi tisa na stress nikajua mi tayar kila sku niliugua sikua na furaha hata kidg nilipopata ujasir wa kwenda kupima aisee nikawa negative

Yale maradhi yote yaliondoka siku hio hio

Ujue stress ni maradhi makubwa sna kushinda hata ukimwi ..stress ndo zinakufanya uhis unaumwa kwani zinashusha immunity yko to max

Nakushaur dogo wacha wenge nenda kapime uendelee kuishi kwa furaha km zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pombe mbaya sana...Me pia juz nmegonga malaya kwa mara ya1 but nilitumia kondomu...apa nahis km nimeukwaa hv tena ata sikumwaga maana nilivowaza ukimw nikawa sina mzuka tena nikachomoa
 
nilienda juzi kati hapa nikaishia kupanga folen, ilpokaribia folen yangu walibaki kama watu watau zamu yangu ifike ya kuingia maabara, nikajikuta moyo unaenda mbio kuliko kawaida, jasho likanitoka, mikono ikaw inavaibrate, nilikuwa nimeshika simu yangu kila nikitahidi kuangalia clip za goli la ronardo ile free header alyoruka juu zaid dhid sampdoria, na nkajaribu fany vitu kobao ili nirejee katka hali yakwaida lakn wapi kutetemeka kukaw kunazidi walivobaki raia wawil, kaona kabisa hapa nikiendelea kuganda hapa nitakata moto hapa nijaze watu msela mm afu nilikuwa nmetupia kinyamwez(presha ilizid) nkaona isiwe kesi nkaamu kusepa nimeshindwa kabisa kupima wadau wangu, ila natafta njia ambayo itanipa ujasiri wa kwenda kupima bila woga, nataka nkienda kupima nyakubali majib yeyote yatakayopatkana huko, ni hivo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pombe mbaya sana...Me pia juz nmegonga malaya kwa mara ya1 but nilitumia kondomu...apa nahis km nimeukwaa hv tena ata sikumwaga maana nilivowaza ukimw nikawa sina mzuka tena nikachomoa
Hiii hali ndo nnapitia sasa kisa mipombe... wiki moja inepita sijielewi ndo nimegonga malaya kabisa kama mkwe wangu na miakili ya pombe namuina mrembo yani daaah sina amani nshafanya research zote na naona muda wa pep ushapita
 
Watu bado mnateseka hizo stress nishazisahau mie Leo tu nimetoka kujipima Mungu ni mwema Niko fresh.
 
Pima tena uondokane na hofu, lkn Tungi sio maana masela kibao wameumia kisa k vant sema hawasemi.
 
Habari zenu wanajamvi,

Ni imani yangu kuwa mu wazima afya na mupo na uhakika kuendelea kuishi vyema mkipambana kutimiza ndoto zenu, mkiwa hamna msongo wowote wa mawazo.

Mimi ni kijana, miaka 26 naitimiza mwezi wa 12 tarehe 5. Ni kwa muda wa mwezi mmoja sasa nimejikuta nikiikosa furaha niliyokuwa nayo na morali niliyokuwa nayo kushuka kwa kasi kutokana sintofahamu juu ya afya yangu ambapo kwa sasa kuna viashiria ambavyo nimekuwa nikiviona katika mwili moja kwa moja nimekuwa nikihisi tayari wale virusi wasiosikia dawa tayari nimewakwaa na wameshaanza kunitafuna.

Dalili za awali ninaziona, kichwa kinauma ni mwezi sasa unaisha hakikomii kinapoa kinarejea tena. Joint za magoti, ugoko zinalegea na kuuma kwa mbali, mate yana hali fulani kama mtu mgonjwa aliyemeza vidonge vya kutosha hadi vinamchefua, nachoka bila sababu. Kuna siku kama mbili hivi tumbo lilivurugika kukawa na kama hali fulani ya kuharisha lakini ikakata, sasa hivi niko powa. Hapa nilipo nina kama maumivu fulani kati ya shingo na taya upande wa kushoto, nahisi ni tezi lataka tokea.

Hospitali nilienda nikafanya vipimo mbalimbali (isipokuwa HIV) vikaonesha sina malaria, ila ikaonekana ni uchafu kwenye mkojo, nikachukua dawa nadhani ni za kutibu UTI. Sasa dawa nimemaliza na hali bado inaendelea vile vile, ndiyo maana najihisi kabisa ninao (UKIMWI), na kinachonipelekea niamini hivyo bila hata kwenda ni kwamba miezi tisa iliyopita likuwa mwezi wa pili tar 18 maeneo fulani hapo Morogoro nikiwa kitaani kuna manzi nilionana naye kiaina nikawa nimemuelewa, yaani nikaamua kusema naye. Hakuwa na noma akanipa namba zake, hivyo tukaagana, ilikuwa saa tisa hivi alasiri.

Baadaye mishale fulani ya saa moja jioni nikamcheki yupo pande zipi akaniambia yupo home kwao. Nikamwambia vipi unaweza ukatoka hapo uje hapa maeneo ya Ipoipo, akasema poa ila anataka kitimoto, nikamwambia poa akasema tena nakuja na mdogo wangu nikamwambia poa njoo naye. Basi kwakuwa alinambia anakuja na mdogo wake ikabidi nimvutie waya mwanangu (mshikaj) mmoja hivi ili aje aweke uzito kidogo sababu washakuwa wawili kwa peke yangu watanipunyua sana, kweli wakaja na mkali wangu nae akafika, wakaagiza walivyovipenda nyama nyama hizi kwa sana.

Mimi nilikuwa natupia Ndovu zangu muda huo na mwana, bae akaliunga tukaanza kupiga mtungi (naichukia sana pombe imenigharimu maisha). Basi wale mademu kuona vile wakataka kunywa tukawaambia kunyweni mtakavyoweza. Waliagiza viLiteLite. Sasa mshikaji kuona kama bia hazipandi ikabidi ashushe mzinga mmoja wa K Vant mkubwa. Hapo mambo ndiyo yalipoharibika; tungi ilikolea mno ikawa yule mwana na mdogo mtu mimi niko na dada mtu sehemu fulani korido kidogo vimulimuli vinatupitia Kwa mbali kidogo, ikawa ni full madhambi.

Sasa wale mademu kuona wamelewa sana walipanga kututoroka, ile kwenda kwenda chooni tunashangaa hawarudi ikabidi tutoke nje ya ile pub, kucheki hivi hatuoni mtu. Mshikaji mmoja bodaboda taliyemuuliza ni jamaa yetu, akatuelekeza kuwa wamepita wameleekea huku muda si mrefu, akatuonyesha ni wapi wameelekea, mimi nikajua watakuwa wameeleka home kwao maanake ile njia waliotumia inaenda moja kwa moja hadi kwao. Hapakuwa mbali kivile kutoka kwenye ile pub. Ikabidi sasa tuchukue bodaboda tuwafukuzie tubahatishe kama tutawakuta na wenge la pombe lile tukanza wafatilia.

Kweli, baada ya kama dakika kadhaa hivi tukawaona kwa mbali wakitembea kwa kuyumba kidogo huku wakicheka kuwa wametuacha, basi yule boda akawapita kidogo akasimama takashuka boda akasepa, wale mademu kutuona wakastuka wakaanza kucheka (pombe) basi kila mmoja alikamata wake, akibembeleza apate chochote. Yule manzi alikuwa mbishi lakini baadaye akalegeza (kipombepombe) ilikuwa ni maeneo fulani jirani na reli ndiyo mitaa ya nyumbani kwao kwahiyo kulikuwa na ukimya fulani kwa muda ule wa saa nne.

Sasa, kulingana na kuwa na wenge la pombe na kuzingatia tena na umbali wa kwenda madukani usiku kutafuta kondom (kabla ya hapo kama sina kondom demu na atembee zake. Dah pombe!), hilo likawa swala gumu na kumuachia sitaki japo yeye alisisitiza kesho. Nikalazimisha hivyohivyo kipombepombe nikamuinamisha nikajipa moyo bao moja tu tena mbona huwaga nawahi kufika Uhuru Peak mapema sana, kwa bao la kwanza hata dakika mbili haziishi niko kileleni. Nishasahau kuwa nilikunywa nikachangaya na K-Vant. Ah! haikuwa dakika mbili hadi demu akachoka anataka asepe. Mwenzake anamuita waende geti litafungwa, mimi ndiyo kwanza nipo Germany na nataka nitoboe hadi Uhuru Peak (pombe hizo). Basi nikamaliza na mshikaji na demu wake washamalizana kitambo; yeye hakubofya, demu alikuwa period, tukasepa.

Kesho yake nikampigia yule demu analalamika nilichomfanyia nimemuumiza, nimemchubua. Tobaa! Hii ndiyo ikawa habari mbaya kwangu, pombe tena haziko na mimi. Nilijilaumu kwa nini sikutumia kinga, tukapanga tukutane tena sehemu fulani, tena ilikuwa mapema na nilitaka niende naye tukapime. Nakumbuka aliniambia sasa tumeshafanya sa kupima tena ya nini, nikamwambia siyo kitu inabidi twende tukapime, mbona nilipiga kimoja halafu sikuchelewa akasema, "hukuchelewa na muda ule nakung'ata ulimi ili utoe niende, na hadi umenichubua nilivyokuwa nakojoa asubuhi mkojo ulinichoma nikajua kabisa ulinichubua." Mi muda huo hoi namuomba Muumba yule manzi awe ni mzima.

Tuliingia tena gest fulani maeneo ya mji mpya hapo hapo mji kasoro, basi ilikuwa ni mchana tuu daa nilivyomuona yule mazi mapaja yake yako na vidoti doti vya upele vilipona havikuwa vingi sana lakini vilinipa maswali nilisex safari hii nilitumia mpira, tukaachana nae hatukwenda kupima.

Siku nyingine akaniita ili twende tukapime, mi nilikuwa nipo site nawajibika, nikakosa muda wa kupima nae. Niliendelea kukaa na wasiwasi kwani nikimpigia anasema anaumwa matezi ya shingo yamemkata, nilichokaa ni balaa.

Siku zikaenda hatimaye mwezi, miezi miwili ikakatika. Tarehe 23 mwezi wa 4 nikaamua niende kituo cha afya kilicho karibu nami nkauondoe huu wasiwasi, japo nilijua kuwa bado mwezi mmoja zaidi ili kwenda kupima kipimo cha uhakika lakini kutokana na hofu iliyokuwa imetanda moyoni mwangu niliona mwezi uliobaki ni mbali. Nilienda kituo cha afya kupima. Wasiwasi ulikuwa mwingi. Kulikuwa na mvua siku hiyo na kibaridi fulani hivi lakini wakati nasubiria majibu jasho lilinitoka.

Kijana mie loser. Majibu yalitoka yakaonesha damu yangu iko (HIV negative) nifurahi kiasi lakin nkikimbuka kuwa kipimo cha uhakika ili upate majibu ya uhakika ni miezi mitatu ili kuonyesha mtu kaambukizwa ama hajaambukizwa.

Wana jamvi, sasa ni miezi tisa dalili ninazoziona zimenitoa kwenye njia kabisa, naogopa kwenda kupima tena nahisi ntajiua. Kuishi ni hivi virusi jamani ni kazi; najaribu kujipa moyo kwa kuwaangalia wengine ambao nimewaona wanaishi navyo lakin bado nasita mimi kuishi kwa matumaini. Kwanini mimi niishi kwa matumaini ili hali wanajamvi humu wanaishi kwa uhakika? Miaka ishirini mingine nitaifkisha kwa hii hali niliyonayo? Nitaishuhudia kweli SGR Dar to Mwanza, Isaka to Kigali inavyofanya kazi? Nitaushuhudia kweli ule uchumi wa kati unafanana vipi mwaka 2040?

Yaani mi ni wa kufa tu. Mbaya zaidi sina mtoto. Kuna demu nilikuwa nimepanga niishi naye nimuoe yuko Arusha, sasa nafikiria asiponiambia suala la kupima ni-date naye tu au sjui nimwache asije kunililia hapo baadaye. Ila sasa kama ni kuishi kwa matumaini si itabidi na mimi niwe na familia?

Sijapima ila kwa hizi dalili za awali, the game is over. Mwanajamvi kama una lolote la kunishauri karibu ila mi ni marehemu soon.
Acha woga ,hata malaria iko namna hii.Waweza kufa kwa Typhod au TB.
 
Hofu tu wazee siyo powaa,nakumbuka nilikuwa chuo mwaka wa kwanza maeneo ya nyanda za juu kusini,nikapiga demu flani alikuwa anasoma Mambo ya ness,sema show ilikuwa show kweli maana niliichakata kwelikweli,baada ya mwezi demu ananiambia Yuko na mimba nikaampa ela ili akajiweke sawa,sijui story alieneza nani ndio nikapata story kwa kinyozi flani ananiambia bro yule demu umepiga kavu?ni muhadhirika yule alininyima amani kwelikweli,badae namulizia mdogo wake anasema na yeye amesikia kuwa Yuko ivyoo sababu wakti anasoma shule Kuna mwalimu alikuwa anapiga na amefariki na mke pia amekufa,kwaiyo Hana uhakika Kama muhanga kweli,asee......!huyuu ndio kabsa akafanya hofu kuwa juu Sana,ilaa nikasema Mimi siyo fara nikaaza kungukia mdogo wake flani ili Kama homa basi irudi kwao Tena na nikafanikiwa,Tena dogo alinifosi Sana kutumia kingaa na Mimi Niko na kusudio langu nikawa napiga dry,mwaka 2012 napata kijana wangu wa kwanza na mwanamke mwingine tuu na Niko fresh tuu mpaka wakti huu na mwanachama wa kudumu kuchangia damu salama,kwaiyo vijana ondoeni hofu,nenda kapime kwanza.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
We ilikuaje mzee baba mana dah
Mimi nipo ivi nikianzisha mahusiano na msichana...
Mpya hua tunapima kila tunapokutana Sasa Kuna..
Wengine hata uwapime bado hofu unakua nayo kvp

Je kama Jan tu kakutan na mtu Alie upata inamana
Na yeye kaupata kwaiyo hofu inarudi Tena nikagundua SAWA ni Moja tu nikutumia Kinga na kupunguza idadi ya warembo mara mwisho nimekutana na ex wangu mwezi wa 6 tu hapo ...
2016 ndo tulianzisha mahusiano tukaachana 2020..

Baada ya kujua kumbe alizaa na jamaa mwingine akawa ananifosi turudiane nikawa nimkubalie ili..
Aliwe tu mwezi wa 6 tarehe 28 akaniletea mzigo nikala ila alitaka kugoma kupima nikamlazimisha akakubali alivoondoka mawazo Yakarudi...
Nikawa naishi kwa hofu nikawa kila mwezi najipima pima alafu nilianza kuhisi kuwa yule Dem saiv ni Malaya anakesha kwenye mabar nimejua kutokana na picha zake siku iyo amekuja nilikagua simu yake na meseji zake eiza anajiuza au mdangaji tangu hapo nikawa nasafiri safiri kikazi homa zikawa haziishi...

Yani symptoms zote za hiv zipo Kuna sehem nilienda sijui Hali ya hewa ilinikataaa kulee nikaanza kutoka mapele Yale mekundu na ivi Mimi ni brown yalinitoka adi kuvua shati mbele za watu unaogopa kibaya zaidi pharmacy zote za huko nilipoenda hawauzi vipimo Hadi hospital alafu nikifikilia kwenda hospital naona jau nishazoea kujipima mwenyewe daah nikaahid nikiludi dar tu hata nifike usiku vipi ntazunguka mji mzima nitafute kipimo nilivorudi tu break ya kwanza nikapata kipimo nikakuta nipo fresh nikashukuru sana Mungu.

Nikapata Tena safari mkoa nilivorudi nikajicheki Niko poa imepitwa kama miez miwili Leo nimejicheki Tena Niko poa nimejiahidi sitembelei ringi Tena maana nataka niwe stress free mkuu Niko ladhi nisigonge demu hata kama amevua hapo namuona lakini lazima tupime kwanza.
 
Habari zenu wanajamvi,

Ni imani yangu kuwa mu wazima afya na mupo na uhakika kuendelea kuishi vyema mkipambana kutimiza ndoto zenu, mkiwa hamna msongo wowote wa mawazo.

Mimi ni kijana, miaka 26 naitimiza mwezi wa 12 tarehe 5. Ni kwa muda wa mwezi mmoja sasa nimejikuta nikiikosa furaha niliyokuwa nayo na morali niliyokuwa nayo kushuka kwa kasi kutokana sintofahamu juu ya afya yangu ambapo kwa sasa kuna viashiria ambavyo nimekuwa nikiviona katika mwili moja kwa moja nimekuwa nikihisi tayari wale virusi wasiosikia dawa tayari nimewakwaa na wameshaanza kunitafuna.

Dalili za awali ninaziona, kichwa kinauma ni mwezi sasa unaisha hakikomii kinapoa kinarejea tena. Joint za magoti, ugoko zinalegea na kuuma kwa mbali, mate yana hali fulani kama mtu mgonjwa aliyemeza vidonge vya kutosha hadi vinamchefua, nachoka bila sababu. Kuna siku kama mbili hivi tumbo lilivurugika kukawa na kama hali fulani ya kuharisha lakini ikakata, sasa hivi niko powa. Hapa nilipo nina kama maumivu fulani kati ya shingo na taya upande wa kushoto, nahisi ni tezi lataka tokea.

Hospitali nilienda nikafanya vipimo mbalimbali (isipokuwa HIV) vikaonesha sina malaria, ila ikaonekana ni uchafu kwenye mkojo, nikachukua dawa nadhani ni za kutibu UTI. Sasa dawa nimemaliza na hali bado inaendelea vile vile, ndiyo maana najihisi kabisa ninao (UKIMWI), na kinachonipelekea niamini hivyo bila hata kwenda ni kwamba miezi tisa iliyopita likuwa mwezi wa pili tar 18 maeneo fulani hapo Morogoro nikiwa kitaani kuna manzi nilionana naye kiaina nikawa nimemuelewa, yaani nikaamua kusema naye. Hakuwa na noma akanipa namba zake, hivyo tukaagana, ilikuwa saa tisa hivi alasiri.

Baadaye mishale fulani ya saa moja jioni nikamcheki yupo pande zipi akaniambia yupo home kwao. Nikamwambia vipi unaweza ukatoka hapo uje hapa maeneo ya Ipoipo, akasema poa ila anataka kitimoto, nikamwambia poa akasema tena nakuja na mdogo wangu nikamwambia poa njoo naye. Basi kwakuwa alinambia anakuja na mdogo wake ikabidi nimvutie waya mwanangu (mshikaj) mmoja hivi ili aje aweke uzito kidogo sababu washakuwa wawili kwa peke yangu watanipunyua sana, kweli wakaja na mkali wangu nae akafika, wakaagiza walivyovipenda nyama nyama hizi kwa sana.

Mimi nilikuwa natupia Ndovu zangu muda huo na mwana, bae akaliunga tukaanza kupiga mtungi (naichukia sana pombe imenigharimu maisha). Basi wale mademu kuona vile wakataka kunywa tukawaambia kunyweni mtakavyoweza. Waliagiza viLiteLite. Sasa mshikaji kuona kama bia hazipandi ikabidi ashushe mzinga mmoja wa K Vant mkubwa. Hapo mambo ndiyo yalipoharibika; tungi ilikolea mno ikawa yule mwana na mdogo mtu mimi niko na dada mtu sehemu fulani korido kidogo vimulimuli vinatupitia Kwa mbali kidogo, ikawa ni full madhambi.

Sasa wale mademu kuona wamelewa sana walipanga kututoroka, ile kwenda kwenda chooni tunashangaa hawarudi ikabidi tutoke nje ya ile pub, kucheki hivi hatuoni mtu. Mshikaji mmoja bodaboda taliyemuuliza ni jamaa yetu, akatuelekeza kuwa wamepita wameleekea huku muda si mrefu, akatuonyesha ni wapi wameelekea, mimi nikajua watakuwa wameeleka home kwao maanake ile njia waliotumia inaenda moja kwa moja hadi kwao. Hapakuwa mbali kivile kutoka kwenye ile pub. Ikabidi sasa tuchukue bodaboda tuwafukuzie tubahatishe kama tutawakuta na wenge la pombe lile tukanza wafatilia.

Kweli, baada ya kama dakika kadhaa hivi tukawaona kwa mbali wakitembea kwa kuyumba kidogo huku wakicheka kuwa wametuacha, basi yule boda akawapita kidogo akasimama takashuka boda akasepa, wale mademu kutuona wakastuka wakaanza kucheka (pombe) basi kila mmoja alikamata wake, akibembeleza apate chochote. Yule manzi alikuwa mbishi lakini baadaye akalegeza (kipombepombe) ilikuwa ni maeneo fulani jirani na reli ndiyo mitaa ya nyumbani kwao kwahiyo kulikuwa na ukimya fulani kwa muda ule wa saa nne.

Sasa, kulingana na kuwa na wenge la pombe na kuzingatia tena na umbali wa kwenda madukani usiku kutafuta kondom (kabla ya hapo kama sina kondom demu na atembee zake. Dah pombe!), hilo likawa swala gumu na kumuachia sitaki japo yeye alisisitiza kesho. Nikalazimisha hivyohivyo kipombepombe nikamuinamisha nikajipa moyo bao moja tu tena mbona huwaga nawahi kufika Uhuru Peak mapema sana, kwa bao la kwanza hata dakika mbili haziishi niko kileleni. Nishasahau kuwa nilikunywa nikachangaya na K-Vant. Ah! haikuwa dakika mbili hadi demu akachoka anataka asepe. Mwenzake anamuita waende geti litafungwa, mimi ndiyo kwanza nipo Germany na nataka nitoboe hadi Uhuru Peak (pombe hizo). Basi nikamaliza na mshikaji na demu wake washamalizana kitambo; yeye hakubofya, demu alikuwa period, tukasepa.

Kesho yake nikampigia yule demu analalamika nilichomfanyia nimemuumiza, nimemchubua. Tobaa! Hii ndiyo ikawa habari mbaya kwangu, pombe tena haziko na mimi. Nilijilaumu kwa nini sikutumia kinga, tukapanga tukutane tena sehemu fulani, tena ilikuwa mapema na nilitaka niende naye tukapime. Nakumbuka aliniambia sasa tumeshafanya sa kupima tena ya nini, nikamwambia siyo kitu inabidi twende tukapime, mbona nilipiga kimoja halafu sikuchelewa akasema, "hukuchelewa na muda ule nakung'ata ulimi ili utoe niende, na hadi umenichubua nilivyokuwa nakojoa asubuhi mkojo ulinichoma nikajua kabisa ulinichubua." Mi muda huo hoi namuomba Muumba yule manzi awe ni mzima.

Tuliingia tena gest fulani maeneo ya mji mpya hapo hapo mji kasoro, basi ilikuwa ni mchana tuu daa nilivyomuona yule mazi mapaja yake yako na vidoti doti vya upele vilipona havikuwa vingi sana lakini vilinipa maswali nilisex safari hii nilitumia mpira, tukaachana nae hatukwenda kupima.

Siku nyingine akaniita ili twende tukapime, mi nilikuwa nipo site nawajibika, nikakosa muda wa kupima nae. Niliendelea kukaa na wasiwasi kwani nikimpigia anasema anaumwa matezi ya shingo yamemkata, nilichokaa ni balaa.

Siku zikaenda hatimaye mwezi, miezi miwili ikakatika. Tarehe 23 mwezi wa 4 nikaamua niende kituo cha afya kilicho karibu nami nkauondoe huu wasiwasi, japo nilijua kuwa bado mwezi mmoja zaidi ili kwenda kupima kipimo cha uhakika lakini kutokana na hofu iliyokuwa imetanda moyoni mwangu niliona mwezi uliobaki ni mbali. Nilienda kituo cha afya kupima. Wasiwasi ulikuwa mwingi. Kulikuwa na mvua siku hiyo na kibaridi fulani hivi lakini wakati nasubiria majibu jasho lilinitoka.

Kijana mie loser. Majibu yalitoka yakaonesha damu yangu iko (HIV negative) nifurahi kiasi lakin nkikimbuka kuwa kipimo cha uhakika ili upate majibu ya uhakika ni miezi mitatu ili kuonyesha mtu kaambukizwa ama hajaambukizwa.

Wana jamvi, sasa ni miezi tisa dalili ninazoziona zimenitoa kwenye njia kabisa, naogopa kwenda kupima tena nahisi ntajiua. Kuishi ni hivi virusi jamani ni kazi; najaribu kujipa moyo kwa kuwaangalia wengine ambao nimewaona wanaishi navyo lakin bado nasita mimi kuishi kwa matumaini. Kwanini mimi niishi kwa matumaini ili hali wanajamvi humu wanaishi kwa uhakika? Miaka ishirini mingine nitaifkisha kwa hii hali niliyonayo? Nitaishuhudia kweli SGR Dar to Mwanza, Isaka to Kigali inavyofanya kazi? Nitaushuhudia kweli ule uchumi wa kati unafanana vipi mwaka 2040?

Yaani mi ni wa kufa tu. Mbaya zaidi sina mtoto. Kuna demu nilikuwa nimepanga niishi naye nimuoe yuko Arusha, sasa nafikiria asiponiambia suala la kupima ni-date naye tu au sjui nimwache asije kunililia hapo baadaye. Ila sasa kama ni kuishi kwa matumaini si itabidi na mimi niwe na familia?

Sijapima ila kwa hizi dalili za awali, the game is over. Mwanajamvi kama una lolote la kunishauri karibu ila mi ni marehemu soon.
wewe ulivyojieleza utakuwa na uti sugu, rudi tena hospitali, na kama bahati mbaya umeathirika anza dawa! utashangaa wanakufa wasiyo na HIV wewe bado unadunda.
 
Back
Top Bottom