Pombe ilichonifanyia: Ndoto zimeyeyuka nahisi ‘nimeukwaa umeme’, nina hofu huenda nisiishuhudie Tanzania ya Viwanda

Daah!! Umenikumbusha mbali sana... Miaka flani ya 2013 nipo chuo.. Nilipalamia manzi flani pekupeku.. Hafu baadae ndo nakuja kugundua kuwa yule manzi ni dada poa (japo alikua mwanachuo)..

Hiyo miezi mitatu ya kusubiri nipime.. Nilikua nina kila dalili za kuungua.. Na nilishuka uzito na kukonda ajabu.. Magonjwa nyemelezi yote yalikua ya kwangu... Hii yote ilisababishwa na hofu
Lakini nilipiga moyo konde nikapima.. Nikakutwa nipo negative .. Ndo kuanza kunenepa tena na magonjwa ya ajabu yakaondoka yenyewe..

Nikutie tu moyo mkuu.. Hiyo ni hofu yako tu.. Wewe ni mzima, hebu kapime... Ninaamini hvo
Ushauri murua kabisa
 
Mimi sj mzembe kama mleta mada, na sina mahusiano mengi mengi kwa wakari mmoja, one man at a time na huwa tunapima.
Halafu kuupata mdudu ni kazi aiseee mpaka kuchubuana damu zihame, daamn hilo tendo halikomolewi ni kufanya kwa starehe na hisia zaidi.
Mambo ya mdudu sahau kabisaaaaaa yatawakuta nyie wenye multiple relationships na mnakomoana.
Kati ya malimbukeni wewe ni mmoja wao!!

Endelea kujifariji...wanaume tunajijua wenyewe. Omba tu Mungu akuepushe na hii dhahama.
 
Mwaka flani nilikuwa TA nikapata demu mmoja mgunya wa mombasa mitaa ya sabasaba kuna pub moja kali hivi.Siku moja namdrop pale pub kuna mchiz mmoja akaniambia dah kamanda huyu dem kaungua ushapiga? dah niliteseka kinyama nikiwaza.Nikarudi dar wife kama kawaida yake nikirudi field tu lazima anipime.Nikapima sina na sasa miaka mitatu nadunda nna mtoto mdogo na nimepima tena sina.
Daahh inabidi wife wangu aanze huu utaratibu
 
kapime hata brucellosis huwa na dalili hizo,mwisho ukiwa mwoga usiwatupie mawe polisi
 
Alaf kitu kingine kupata ngwengwe sio kitu kirahisi kiasi hicho.

Kupata ngwengwe ni process, kinachomsumbua mshikaji ni wasiwasi tu, na hiyo hutokeaga kwa watu wengi tu pale ambapo unakuwa umepita njiaisiyo salama.

Mm nashauri jamaa akapime, atakuja hapa mwenyew na kusema hana kitu bali wasiwasi na hofu tu ndo vilikuwa vinamsumbua.

Process zipi mkuu nyie ndio mnaodanganya watu huku embu tuoridhesheehixo process moja baada ya nyingine tujue
 
Dogo nenda kapime.

Angalizo: Siku nyingine ukilew usije ukagongea demu pembezoni mwa reli mtakatika vipandevipande kesi kama hizi zipo sana mkoani Morogoro.
 
nickder,

Acha uwoga wewe endelea kula huyo demu uliugua sulua ndio hivyo vipele lingine ukumla wewe aliliwa na pombe kama ngoma atapata pombe.
 
Pole mkuu, nadhani ubadilishe mind set yako tu kuwa na amani kila kitu kitakaa sawa, Ipo Ipo Bar
 
Jipige kifua mara tatu HIV sio ugonjwa wa kuuua bwna ogopa tezi dume
 
Hivi mwenye HIV ana performance nzuri kwenye tendo?
Nadhani hapo akipatiwa jibu zuri itamsaidia kwenda kufanya maamuzi sahihi
 
Back
Top Bottom