nickder
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 211
- 152
- Thread starter
- #221
Sikulewa pombe ya kuzima kupoteza network but ilikuwa inaniendesha katka kuamua jambo,unaweza ukawa unanunua vitu hovyo unatoa ofa za pmbe hata kwa watu mliokutana nao baa kwa mara kwanza,ukijifarji kesho utafanya mishe fulan utasawazisha mambo, na ndo kilichotokea kutumia mpira nkaona sio ishu sana mbon schelewi nakojoa, kifup maamuz ya pombe siku zote huwa si sahihi.Sasa ww ulilewa pombe gan mpaka ukayakumbuka mambo yote hayo