mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,073
- 20,316
Wanakera sana was3ng3 haowalevi ni wapumbavu sana kazi kujisaidia haja kubwa mabarabarani kama mbwa
Wanakera sana was3ng3 haowalevi ni wapumbavu sana kazi kujisaidia haja kubwa mabarabarani kama mbwa
ndo narud hapaa wacha nipitie liqour mimi bar siwezag hekaheka na genzUmechelewa giza limeshaingia wenzio wamerudi tangu 11:30 jioni hii
ewaaaaah nipo tyr nasindikizwa na kibao cha baba parokoAlcohol bring the sense of togetherness.
Dah kweli aisee kuna demu naifukuzia maneno aliyoniambia natamani Kila nikiipiga chini nakumbuka sijamtafuna namuacha ila akili inasemwa hujala wewwJambo lolote analokwambia mlevi ni ukweli mtupu,
View attachment 3602454
#tujifunze utamaduni wa kunywa kwa afya.
Brother angu kabisa.ndo narud hapaa wacha nipitie liqour mimi bar siwezag hekaheka na genz
nashukuru mzee wangu, eka mbe japo wewe mchaga wa town,Brother angu kabisa.
Mm niko hoi 😊😊😊. Dah! Ila ndio napandisha zangu Goba.
Tmr ni kulala sana tu.
Salimia dada wa Hapo Liqour store.
Mwambie akuheshim na akusilikize.
Ww unawakilisha JF kwa TZ nzima.
na umwambie kuwa ww tunakuheshimu sana.
Kwahiyo na yeye akuheshimu.
Akupe unachotaka. 😊😊😊😊..
Akibisha muonyeshe sms .
Ukweli pekee asiousema mlevi ni kwamba amelewaJambo lolote analokwambia mlevi ni ukweli mtupu,
View attachment 3602454
#tujifunze utamaduni wa kunywa kwa afya.