Pombe dhidi ya bangi

Kababrah

Member
Joined
Dec 14, 2016
Posts
59
Reaction score
83
Mimi ni kijana wa kiume, na wanasemaga walimwengu kua ujana maji ya moto, nahitaji kujua vitu ambavyo huenda sivijui, utanisaidia kujaza kwenye comment πŸ‘‡

POMBE UKINYWA KUPITA KIASI
πŸ‘‰ Husababisha ajali
πŸ‘‰ Matusi
πŸ‘‰ Kudhalilika [ kujinyea, kujikojolea, kutapika, kuropoka]
πŸ‘‰ Kulawitiwa ama kuibiwa
πŸ‘‰ Kugongewa ama kushindwa kucheza show vizuri
πŸ‘‰ Kukoroma na kulala kama zombie na kupoteza kumbukumbu
πŸ‘‰ ?
πŸ‘‰ ?

BANGI UKIVUTA KUPITA KIASI
πŸ‘‰
πŸ‘‰
πŸ‘‰

Nitajie madhara yake 6 πŸ‘‡
Kama ulivyo kwenye pombe 🍺

Wanasayansi na watafiti wanadai kua
POMBE πŸ‘‡

Hukimbilia chini zaidi 75% tofauti na sehemu nyingine hivyo hukufanya uwe na nyege za kipuuzi ikapelekea kulala na demu yeyote yule ukiamka ahsubuhi ndio unajiuliza nimeopoa hili bibi mida gani πŸ€”.
Pia mwili kuchoka hasa wakati wa kuamka

BANGI πŸ‘‡

Asilimia kubwa Hukimbilia kichwani Tofauti na sehemu nyingine
Je ikikimbilia kichwani unawaza hustle za ku pambana na maisha na kuwaza overthink ukiwepo mipango ya maisha yako na harakati, mtu anaevuta hawazi umalaya, pia hujiuliza maswali makali kuhusu chochote tu

Mf πŸ‘‰ kwan upendo ni nn
Ni aliesema tuchinje kuku na mbuzi lakini tufuge mbwa na paka
Mf πŸ‘‰ hapo mwanzo kwa kuumbwa dunia je adamu na Hawa walikua peke yako kweli,
Je kama ni kweli mbona tumeongezeka wengi duniani, je! Watoto wao walioana wakazaa ndio dunia ikaongezeka watu au waliumbwa wengine wengi

NAOMBENI MAJIBU KWENYE COMMENT
Madhara 6 ya BANGI πŸ‘‡
 
Kiukweli kabisa vyote niliwahi kuvitumia na kiukweli kabisa vinahitaji uwe na kiasi.
Kwa upande wangu pombe ilikuwa haina ishu ma hangover ya kipuuzi hufanyi kazi vizuri, unapoteza sana pesa, kupoteza muda, kuvunja heshima (wanawake hovyo)na mengi tu.

Ila kwa mwiba ilikuwa naweza kutulia kimya nikitafakari sitaki kelele wala kuongea ongea sana na watu, haina gharama, huwazii ngono, naweza nikasoma kitu kwa kina pasipo kuwa kelele za nje.

All in all kila kitu ni kwa kiasi ila pombe jau sana hayana ishu.
 
Hili swali lako la pombe na bangi ni swali la afadhali na potelea mbali! Hakuna zuri hapo.
 
Vyote ni artificial mind stimulant madhara itategemea na mtumiaji.
Madhara makubwa ni addiction(vinakuendesha unakosa udhibiti).
 
Sivuti bhangi,....

Ila napenda harufu yake sana...huwa nakaa vijiweni wanakovuta, nikienjoy ule moshi wake.......

Konyagi pia ina utamu wake, hasa konyagi ndogo usizidishe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…