Nimefanya compilation ndogo hapa. Nimetumia opinion polls za vituo/centre 5. Namely Mwananchi, Synovate, JF, REDET and Mwnahalisi.
Matoke ni kama ifuatavyo
mwnch Slaa 73% JK 21 %
JF Slaa 68% JK 23%
Redet Slaa18% JK70%
synovate Slaa16% JK61%
mwnhalisi Slaa 87% JK8%
Watani Slaa 52.4% JK 36.6%
Source: Author own computation using Data from Mwan, JF, Redet Syn, Mwanah
Ukiweka centre zote Slaa anamzidi Kikwete kwa asilimia zaidi ya 16.
Ukiondoka vituo ambavyo matokeo yake yanapigwa kwa kiwango kikubwa Slaa anamzidi Kikwete kwa zaidi ya asilimia 59
Wkend Njema
Mazumbukuku wanajidanganya kibwegebwegeeeeeeeeeeee !!!!!
redirty na sin-vote wana lao jambo. Wamelambishwa rushwa na hawana ujasiri tena nayo aibu imewashikaNimefanya compilation ndogo hapa. Nimetumia opinion polls za vituo/centre 5. Namely Mwananchi, Synovate, JF, REDET and Mwnahalisi.
Matoke ni kama ifuatavyo
mwnch Slaa 73% JK 21 %
JF Slaa 68% JK 23%
Redet Slaa18% JK70%
synovate Slaa16% JK61%
mwnhalisi Slaa 87% JK8%
Watani Slaa 52.4% JK 36.6%
Source: Author own computation using Data from Mwan, JF, Redet Syn, Mwanah
Ukiweka centre zote Slaa anamzidi Kikwete kwa asilimia zaidi ya 16.
Ukiondoka vituo ambavyo matokeo yake yanapigwa kwa kiwango kikubwa Slaa anamzidi Kikwete kwa zaidi ya asilimia 59
Wkend Njema
Kioo cha masaa 72 baada ya 6pm/7pm on 31-10-2010.Nimefanya compilation ndogo hapa. Nimetumia opinion polls za vituo/centre 5. Namely Mwananchi, Synovate, JF, REDET and Mwnahalisi.
Matoke ni kama ifuatavyo
mwnch Slaa 73% JK 21 %
JF Slaa 68% JK 23%
Redet Slaa18% JK70%
synovate Slaa16% JK61%
mwnhalisi Slaa 87% JK8%
Watani Slaa 52.4% JK 36.6%
Source: Author own computation using Data from Mwan, JF, Redet Syn, Mwanah
Ukiweka centre zote Slaa anamzidi Kikwete kwa asilimia zaidi ya 16.
Ukiondoka vituo ambavyo matokeo yake yanapigwa kwa kiwango kikubwa Slaa anamzidi Kikwete kwa zaidi ya asilimia 59
Wkend Njema
Mazumbukuku wanajidanganya kibwegebwegeeeeeeeeeeee !!!!!
Mazumbukuku wanajidanganya kibwegebwegeeeeeeeeeeee !!!!!
Nimejaribu kujumlisha matokeo ya urais kadri ninavyoyapata takribani vituo kama 4000 hivi na matokeo ni kama ifuatavyo
W. Slaa 51.2 na J. Kikwete 29.6%.