Kama mjumbe wa Mungu ambae alitumwa kwa mataifa yote alipigika sembuse gadafi!yesu yupi alikuwa kiongozi nchi gani
Kama mjumbe wa Mungu ambae alitumwa kwa mataifa yote alipigika sembuse gadafi!yesu yupi alikuwa kiongozi nchi gani
Mnauwakika lakini yesu alipigwaKama mjumbe wa Mungu ambae alitumwa kwa mataifa yote alipigika sembuse gadafi!
Na ndio huyo huyo alie jenga msikiti na kusahidia watu..Gadaffi huyu aliyeua askari wetu wakati wa vita vya Uganda?!
..vijana wa siku hizi hebu someni kidogo.
..manaake mnaaibisha kwa kuanzisha thread kama hizi.
Gadaffi aligeukia bara la afrika baada ya ulimwegu wa waarabu kumkataa
Muamar gadafi....huyo Mandela "ushujaa" wake ni kukaa jela mengine aliyoyafanya ni ya kawaida sana, tena yalifanywa na wapigania Uhuru wenzie
Yaani umepika pilau alafu juu yake ukanyunyiza mlenda...umenichefuaTatizo gaddafi alikuwa mdini sana ingawa alifanya mengi mazuri ila Mandela ni kama tundu lissu