Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

Muammar Gaddafi vs Nelson Mandela? Nani shujaa/mwamba wa Afrika?

  • Total voters
    237
Nadhani unafikiri kwa kutumia masaburi, kamuulize kiongozi wako mkuu papa atakwambia yesu aliuawa vipi
Ok nitamuuliza.
Lakini bado haizuii ykweli kwamba Gaddafi aliuwawa na waLibya baada ya kumchoka.
Mmoja mmoja atakwenda, Saddam,BinLaden,Gaddafi.....
 
Ok nitamuuliza.
Lakini bado haizuii ykweli kwamba Gaddafi aliuwawa na waLibya baada ya kumchoka.
Mmoja mmoja atakwenda, Saddam,BinLaden,Gaddafi.....
Ungekuwa na akili japo kidogo usingeandika upuuzi huu waliomuua osama, sadam ndio waliomuua gadafi, wana libya hawakuwa na uwezo wa kumuua gadafi, ni kweli huamini uliyoyaskia kuhusu kifo cha yesu?
 
Ungekuwa na akili japo kidogo usingeandika upuuzi huu waliomuua osama, sadam ndio waliomuua gadafi, wana libya hawakuwa na uwezo wa kumuua gadafi, ni kweli huamini uliyoyaskia kuhusu kifo cha yesu?
Walimuua Gaddafi niWalibya,Saddam aliuwawa na waIraq na Osama aliuwawa na Navy Seal.Una la ziada. Povu linakutoka.

Concl. Gaddafi alikuwa muuaji,mpenda ngono and all the evils you know. Wewe ni Pimbi tu wa kiTanzania huwezi badili historia
 
Historia uliyopewa na mabwana zako wa kizungu, siiwezi kuibadili achana na mimi binti
 
Hats ukimuuliza Mandela mwenyewe atakwambia Ghadafi, kwakuwa anafahamu mchango wa Ghadafi katika struggle zao za kupinga ubaguzi wa rangi.
 
Kwa Africa anaeweza kuwa sambamba na Ghadafi labda Nyerere tu hakuna mwingine. Hawa watu wawili wamejitoa sana kwa ajili ya ukombozi wa bara la Afrika.
 
Hats ukimuuliza Mandela mwenyewe atakwambia Ghadafi, kwakuwa anafahamu mchango wa Ghadafi katika struggle zao za kupinga ubaguzi wa rangi.
Mandela amjue Gaddafi zaidi ya waLibya aliowabaka nao wakaamua kumbaka kabla ya kumpiga shaba???
 
Ghadafi alikuwa ametenga dola za kutosha ili kuanzisha Africa Monetary Fund ( AMF) ili kuachana na unyonyaji wa IMF Bahati mbaya Mmarekani akazifreeze pale vita ilipoanza.

Ghadafi alifadhili Satellite ya kwanza ya mawasiliano ya Afrika kitu kilichozifanya nchi za Afrika zisitumie Satellite za Ulaya na hivyo kupelekea gharama za mawasiliano Afrika kuwa nafuu.

Ghadafi alifadhili AU

Ghadafi alifadhili kifedha vyama vingi vya Ukombozi Afrika

Ghadafi alikuwa anafadhili mradi wa nchi moja ya Afrika.
 
Back
Top Bottom