Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,637
- 29,807
Miaka zaidi ya 400 kabla ya Kristo kulikuwepo na taifa fulani la Troy ambapo walikuwa imara na wasioingilika. pia lilikuwepo taifa lingine la Trojan ambalo walikuwa mataifa rafiki ingawa yalikuwa mbali from each other.
Mwanamfalme wa Troy alifanya safari ya kiserikali kwenda Trojan na aliutumia ujana na utanashati wake kumshawishi hatimaye kumtorosha Malkia wa Trojan ili amuoe hatimaye. Hicho ndo kisa kilichopelekea baba wa mababa wa vita zote duniani iitwayo Trojan War. Zaidi ya merikebu Elfu 40 za kivita zilishiriki huku zaidi ya robo tatu zikiangamia na kuzamishwa baharini. Vita ilipiganwa kwa miaka 10 au zaidi.
Katika vita hii ndipo tunampata shujaa wa Troy aitwaye Achilies (Tamka Akili), ambaye alitumia mbinu zake za kivita kuulinda mji dhidi ya majemedari wa Trojan.
Ili washinde vita ilibidi Trojan wabadili mbinu ndipo wakaunda (over night) sanamu kuubwa ya farasi (almaarufu Trojan Horse) iliyotokana na mbao za merikebu zao kisha wakajijaza ndani ya huyo farasi. Troy walipoamka ahsubuhi hawakuona merikebu wala kambi ya Trojan. Wakajua wamekimbia lakini waliona yule farasi wakajiaminisha kwamba waTrojan wamekimbia na kuacha mungu wao pale pwani. Wakaamua kumteka yule mungu na kumpeleka ndani ya malango ya mji. Hawakujua ndani ya farasi yule jeshi zima la Trojan wamejificha kimya wakisubiri muda muafaka.
Usiku wakati mji umelala, waTrojan walitoka ktk farasi na kuushambulia mji, yalikuwa maafa makubwa hayajawahi kushuhudiwa kale mpaka sasa.
Chama changu cha CCM, kimetuhumiwa sana kupandikiza mamluki kwenye vyama vya upinzani. Lakini kwa hali halisi inaonyesha wapinzani wameanza kujihesabu na sasa Trojan Horse yupo ndani ya nchi akisubiri muda muafaka wa kupambana.
Nasema hilo kwa sababu, wimbi la wanasiasa upinzani kujiunga na CCM na wakifika wanapewa nafasi mbalimbali za kidola, inawezekana wamekuja kujiunga kwa kazi maalum....
Nimetumia lugha ya picha tena nyepesi ili kuielewa
Mwenye akili na afahamu
Sent using Jamii Forums mobile app