Mtu anayedhani CCM bado ipo huyo anakuwa haelewi kitu.CCM kama chama cha siasa ilishafariki kitambo kilichobaki ni dola inayong'ang'ania madaraka kimabavu.CCM bila dola (Polisi,tiss,jwtz),hakuna kitu hapo!
Ulitaka niongelee simulizi za wagiriki kwa kutumia African Historiography ?hapo historians tunasema umetembea na kuogelea katika Greek Historiography
mkuu samahani umenielewa vibaya ...nimejaribu kuonyesha kuutambua Mchango wako kwa kunasibisha yale niliyoyafanya katika masomo yangu ...nikitaka kuonyesha furaha yangu katika kukuelewa aseeeUlitaka niongelee simulizi za wagiriki kwa kutumia African Historiography ?
Sio kuishambulia bali ndio ukweli.Dola iache kuisaidia CCM tuone kama inaweza kusimama yenyewe.CCM ya kina Mkapa na JK ni tofauti kabisa na hii.Ya sasa haijengi hoja Bali inatawala kimabavu.Hakuna tena chama kushika hatamu!CCM ina misingi mizuri inayoifanya iwe political party.
Badala ya kuishambulia mnapaswa kuja na road map na kuimarisha vyama mbadala ili kuwepo na siasa zenye tija
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hii ya CCM imeishakufa ni kauli ya muda mrefu sana? Binafsi nilianza kuisikia enzi za Rais Mzee Mkapa, lakini bado CCM ipo leo ikiwa na nguvu zaidi ya kipindi hicho.ssm imeshakufa,upnzani wanapambana na dora
period!
CCM inafanya nini kwenye siasa zaidi ya kusaidiwa na mihimili. Yote 3 ili iendelee kupumua?Hebu kuwe na fair competition kwenye ulingo wa siasa tuone uimara wa CCM!Mbona hii ya CCM imeishakufa ni kauli ya muda mrefu sana? Binafsi nilianza kuisikia enzi za Rais Mzee Mkapa, lakini bado CCM ipo leo ikiwa na nguvu zaidi ya kipindi hicho.
Mkuu usibebe kila unaloambiwa.CCM inafanya nini kwenye siasa zaidi ya kusaidiwa na mihimili. Yote 3 ili iendelee kupumua?Hebu kuwe na fair competition kwenye ulingo wa siasa tuone uimara wa CCM!
Sijaambiwa na mtu nimefuatilia mwenyewe.Mkuu usibebe kila unaloambiwa.
Kama unaamini uko sawa, basi sawa.Sijaambiwa na mtu nimefuatilia mwenyewe.
Naifahamu CCM toka inazaliwa kutoka TANU mwaka 1977.Kazi ya chama miaka yote ilikuwa ni kuisimamia serikali.Sasa hivi serikali ndio inakisimamia chama.Ina maana chama cha mapinduzi kwa sasa hakiwezi kusimama chenyewe pasipo serikali(polisi,tiss,jwtz).Mwenyekiti wa chama anatumia uamirijeshi mkuu wake kama kiongozi wa nchi kukibeba chama kwa mbeleko zote.Mbaya zaidi anasaidiwa na muhimili mingine ambayo ameiweka mfukoni.Rejea alishawahi kumwambia kiongozi wa muhimili mwingine ,"Washughulikie wakiwa huko ndani wakitoka nje Mimi nitawashughulikia huku".
Dah...piga kazi ndugu yangu...kiuhalisia...wanasiasa wote wanapigania matumbo yao...usidanganyike[emoji2960][emoji56]Miaka zaidi ya 400 kabla ya Kristo kulikuwepo na taifa fulani la Troy ambapo walikuwa imara na wasioingilika. pia lilikuwepo taifa lingine la Trojan ambalo walikuwa mataifa rafiki ingawa yalikuwa mbali from each other.
Mwanamfalme wa Troy alifanya safari ya kiserikali kwenda Trojan na aliutumia ujana na utanashati wake kumshawishi hatimaye kumtorosha Malkia wa Trojan ili amuoe hatimaye. Hicho ndo kisa kilichopelekea baba wa mababa wa vita zote duniani iitwayo Trojan War. Zaidi ya merikebu Elfu 40 za kivita zilishiriki huku zaidi ya robo tatu zikiangamia na kuzamishwa baharini. Vita ilipiganwa kwa miaka 10 au zaidi.
Katika vita hii ndipo tunampata shujaa wa Troy aitwaye Achilies (Tamka Akili), ambaye alitumia mbinu zake za kivita kuulinda mji dhidi ya majemedari wa Trojan.
Ili washinde vita ilibidi Trojan wabadili mbinu ndipo wakaunda (over night) sanamu kuubwa ya farasi (almaarufu Trojan Horse) iliyotokana na mbao za merikebu zao kisha wakajijaza ndani ya huyo farasi. Troy walipoamka ahsubuhi hawakuona merikebu wala kambi ya Trojan. Wakajua wamekimbia lakini waliona yule farasi wakajiaminisha kwamba waTrojan wamekimbia na kuacha mungu wao pale pwani. Wakaamua kumteka yule mungu na kumpeleka ndani ya malango ya mji. Hawakujua ndani ya farasi yule jeshi zima la Trojan wamejificha kimya wakisubiri muda muafaka.
Usiku wakati mji umelala, waTrojan walitoka ktk farasi na kuushambulia mji, yalikuwa maafa makubwa hayajawahi kushuhudiwa kale mpaka sasa.
Chama changu cha CCM, kimetuhumiwa sana kupandikiza mamluki kwenye vyama vya upinzani. Lakini kwa hali halisi inaonyesha wapinzani wameanza kujihesabu na sasa Trojan Horse yupo ndani ya nchi akisubiri muda muafaka wa kupambana.
Nasema hilo kwa sababu, wimbi la wanasiasa upinzani kujiunga na CCM na wakifika wanapewa nafasi mbalimbali za kidola, inawezekana wamekuja kujiunga kwa kazi maalum....
Nimetumia lugha ya picha tena nyepesi ili kuielewa
Mwenye akili na afahamu
Sent using Jamii Forums mobile app