Political Intelligence: CCM kuweni macho, lijalo laja

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,603
29,743
Miaka zaidi ya 400 kabla ya Kristo kulikuwepo na taifa fulani la Troy ambapo walikuwa imara na wasioingilika. pia lilikuwepo taifa lingine la Trojan ambalo walikuwa mataifa rafiki ingawa yalikuwa mbali from each other.

Mwanamfalme wa Troy alifanya safari ya kiserikali kwenda Trojan na aliutumia ujana na utanashati wake kumshawishi hatimaye kumtorosha Malkia wa Trojan ili amuoe hatimaye. Hicho ndo kisa kilichopelekea baba wa mababa wa vita zote duniani iitwayo Trojan War. Zaidi ya merikebu Elfu 40 za kivita zilishiriki huku zaidi ya robo tatu zikiangamia na kuzamishwa baharini. Vita ilipiganwa kwa miaka 10 au zaidi.

Katika vita hii ndipo tunampata shujaa wa Troy aitwaye Achilies (Tamka Akili), ambaye alitumia mbinu zake za kivita kuulinda mji dhidi ya majemedari wa Trojan.

Ili washinde vita ilibidi Trojan wabadili mbinu ndipo wakaunda (over night) sanamu kuubwa ya farasi (almaarufu Trojan Horse) iliyotokana na mbao za merikebu zao kisha wakajijaza ndani ya huyo farasi. Troy walipoamka ahsubuhi hawakuona merikebu wala kambi ya Trojan. Wakajua wamekimbia lakini waliona yule farasi wakajiaminisha kwamba waTrojan wamekimbia na kuacha mungu wao pale pwani. Wakaamua kumteka yule mungu na kumpeleka ndani ya malango ya mji. Hawakujua ndani ya farasi yule jeshi zima la Trojan wamejificha kimya wakisubiri muda muafaka.

Usiku wakati mji umelala, waTrojan walitoka ktk farasi na kuushambulia mji, yalikuwa maafa makubwa hayajawahi kushuhudiwa kale mpaka sasa.

Chama changu cha CCM, kimetuhumiwa sana kupandikiza mamluki kwenye vyama vya upinzani. Lakini kwa hali halisi inaonyesha wapinzani wameanza kujihesabu na sasa Trojan Horse yupo ndani ya nchi akisubiri muda muafaka wa kupambana.

Nasema hilo kwa sababu, wimbi la wanasiasa upinzani kujiunga na CCM na wakifika wanapewa nafasi mbalimbali za kidola, inawezekana wamekuja kujiunga kwa kazi maalum....

Nimetumia lugha ya picha tena nyepesi ili kuielewa

Mwenye akili na afahamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Troy was a mythical city from the Iliad by Homer: It's not real and they have never been any historical proof of her existence. And to put the facts straight, Troy fought the Greeks not the Trojans.

Trojan was an attributed name given to natives of Troy. It's like saying Tanzania and Tanzanians.

NB: Yote tisa ujumbe wako utawafikia walengwa.
 
Kuna kitabu kinaitwa myth and meaning niliwahi kupitia kidogo hicho unachokizungumzia wewe sio sahihi... Troy ni walipigana na wagiriki wakiongozwa na bwana mmoja kwa jina la Agamemnon ...trojan ni utaifa wa wanatroy (Bahati mbaya hizi ni hadithi za kusadikika) kupata hadithi kamili soma kitabu kinaitwa the siege and fall of Troy
 
Ahsante sana kwa ufafanuzi...

Nimehadaiwa na kitabu cha FINDING THE WALLS OF TROY....

Ambapo watafiti walikuwa wanachimba kutafuta masalia ya ule mji.

Amesema ukweli mtupu

Historia imeifanya Dunia ya sasa kubuni njia sahihi za kiutawala za Inchi kwa kuweka mfumo wa Demokrasia.
Pamoja na wizi wa kura na fitina zote za kufubaza mfumo huu bado mwenye mamlaka ya kumweka kiongozi wa Inchi madarakani ni Mwanainchi kupitia sanduku la kura.
Hata kama chama cha upinzani kikichukua madaraka ya kuongoza Inchi, hawataongoza kama wafalme.
Baada ya muda watarudi kuomba kura tena kwa Wanainchi.
CCM imeweka mfumo wa vyama vingi muda mrefu kwa ridhaa yake yenyewe na baada ya hapo imekuwa ikibadilisha wagombea wa Urais kila baada ya miaka kumi.
CHADEMA wanaonyesha kuwa hawapendi Demokrasia kwa sababu Kiongozi mkuu wa chama amekuwa huyo huyo kwa miongo mingi bila kumbadilisha.
Kwa maana hii hata tukiwapa kutawala Inchi wanaweza kubadilisha katiba ya Inchi ili kiongozi wao mkuu wa Chama aendelee kugombea Urais na kutawala Inchi.
CHADEMA waanze Demokrasia ndani ya chama chao kwa kuweka muda maalumu wa kiongozi wa juu wa chama kuwa madarakani.
 
Waliotoka upinzani kwenda CCM walikwenda kwa sababu ya njaa zao,ila upinzani kukinoga watajirahisisha kwa wapinzani ili watumike kuihujumu CCM.
 
Kwa mtazamo wangu,naona kama CCM asilia/kale imemezwa na CCM mpya inayotokana na matunda ya mfumo wa vyama vingi.

CCM ya leo/mpya ni ile inayofanzia kazi maoni na matakwa ya wengi yaliyoibuliwa 1992-2015 na yale yaliyokuwa matamanio ya Baba wa Taifa Hayati Mwl.JK Nyerere.

Kwa mfano 1992 ile ya kura ya maoni juu ya uanzishwaji wa mfumo wa vyama vingi,ulikuwa ni mchakato wa uhalali wa wachache kutumika ili kusaidia taifa hapo baadae (akiba ya viongozi) ndio maana wakakubali uwepo wao.

Kama CCM ya 1992 ingelikataa maoni ya wachache,maana yake ni kwamba leo hii insigelikuwepo madarakani.

Hivyo ndivyo ilivyo na hata kesho kuwa CCM itaendelea kushika dola katika sura tofauti tofauti za kiitikadi na mabadiliko ya ulimwengu.

Ushindi huu si CCM au Vyama vingine vya siasa,bali ni ushindi wa Watanzania wote kukubali mabadiliko pasipo kuvunja amani na utulivu.

Ninaamini hoja za leo za wapinzania ni faida kwa CCM ya kesho na madhaifu ya wapinzani ya leo ni faida za CCM kwa kesho ambazo zinaweza kutekelezwa na wapinzania waliko ndani ya CCM au wana CCM asilia.

Kwa mfano yanayofanyika leo katika serikali ya awamu ya tano chini ya Mh.Rais Dr. J.P Magufuri ni yale yale yaliyokuwa yanapigiwa kelele na vyama vya siasa 2005-2015 either kwa kuwekwa kama sehemu ya ilani ya CCM 2015-2020 au kuwa kama sehemu ya maamuzi magumu kwa Mh.Rais pamoja na serikali yake.

Ndivyo itakavyokuwa miaka ijayo, kwani uongozi wakati mwingine sio kubadishana vyeo au rangi za vyama bali ni kukubaliana katika hoja zenye mashiko kwa Taifa.
 
Baba la historia
Malcom Lumumba
Troy was a mythical city from the Iliad by Homer: It's not real and they have never been any historical proof of her existence. And to put the facts straight, Troy fought the Greeks not the Trojans.

Trojan was an attributed name given to natives of Troy. It's like saying Tanzania and Tanzanians.

NB: Yote tisa ujumbe wako utawafikia walengwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana kwa ufafanuzi...

Nimehadaiwa na kitabu cha FINDING THE WALLS OF TROY....

Ambapo watafiti walikuwa wanachimba kutafuta masalia ya ule mji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hukuwa nje na maudhui ya kitabu mkuu, sema tu wahusika uliwaweka ndivyo sivyo japo ujumbe wako tumeupata vizuri na umeeleweka.

Big Up sana and keep up the good work.
 
Troy was a mythical city from the Iliad by Homer: It's not real and they have never been any historical proof of her existence. And to put the facts straight, Troy fought the Greeks not the Trojans.

Trojan was an attributed name given to natives of Troy. It's like saying Tanzania and Tanzanians.

NB: Yote tisa ujumbe wako utawafikia walengwa.
hapo historians tunasema umetembea na kuogelea katika Greek Historiography
 
Miaka zaidi ya 400 kabla ya Kristo kulikuwepo na taifa fulani la Troy ambapo walikuwa imara na wasioingilika. pia lilikuwepo taifa lingine la Trojan ambalo walikuwa mataifa rafiki ingawa yalikuwa mbali from each other.

Mwanamfalme wa Troy alifanya safari ya kiserikali kwenda Trojan na aliutumia ujana na utanashati wake kumshawishi hatimaye kumtorosha Malkia wa Trojan ili amuoe hatimaye. Hicho ndo kisa kilichopelekea baba wa mababa wa vita zote duniani iitwayo Trojan War. Zaidi ya merikebu Elfu 40 za kivita zilishiriki huku zaidi ya robo tatu zikiangamia na kuzamishwa baharini. Vita ilipiganwa kwa miaka 10 au zaidi.

Katika vita hii ndipo tunampata shujaa wa Troy aitwaye Achilies (Tamka Akili), ambaye alitumia mbinu zake za kivita kuulinda mji dhidi ya majemedari wa Trojan.

Ili washinde vita ilibidi Trojan wabadili mbinu ndipo wakaunda (over night) sanamu kuubwa ya farasi (almaarufu Trojan Horse) iliyotokana na mbao za merikebu zao kisha wakajijaza ndani ya huyo farasi. Troy walipoamka ahsubuhi hawakuona merikebu wala kambi ya Trojan. Wakajua wamekimbia lakini waliona yule farasi wakajiaminisha kwamba waTrojan wamekimbia na kuacha mungu wao pale pwani. Wakaamua kumteka yule mungu na kumpeleka ndani ya malango ya mji. Hawakujua ndani ya farasi yule jeshi zima la Trojan wamejificha kimya wakisubiri muda muafaka.

Usiku wakati mji umelala, waTrojan walitoka ktk farasi na kuushambulia mji, yalikuwa maafa makubwa hayajawahi kushuhudiwa kale mpaka sasa.

Chama changu cha CCM, kimetuhumiwa sana kupandikiza mamluki kwenye vyama vya upinzani. Lakini kwa hali halisi inaonyesha wapinzani wameanza kujihesabu na sasa Trojan Horse yupo ndani ya nchi akisubiri muda muafaka wa kupambana.

Nasema hilo kwa sababu, wimbi la wanasiasa upinzani kujiunga na CCM na wakifika wanapewa nafasi mbalimbali za kidola, inawezekana wamekuja kujiunga kwa kazi maalum....

Nimetumia lugha ya picha tena nyepesi ili kuielewa

Mwenye akili na afahamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili tulishalizungumza toka zmani, mkuu baada ya kuona watu wanajiuza akaiba na 1.5T ili kufanikisha zaidi, kuna watu ilibidi wasihame ili mbinu y chadema isionekane wazi wazi, mfano Sugu Msigwa, Heche, halima.mdee, Lissu, hawa wakihama tutajua kabisa wametumwa. Mikakati ni ya chini kwa chini hata ikileta majufaa 2030 sio mbaya.
 
Kuna kitabu kinaitwa myth and meaning niliwahi kupitia kidogo hicho unachokizungumzia wewe sio sahihi... Troy ni walipigana na wagiriki wakiongozwa na bwana mmoja kwa jina la Agamemnon ...trojan ni utaifa wa wanatroy (Bahati mbaya hizi ni hadithi za kusadikika) kupata hadithi kamili soma kitabu kinaitwa the siege and fall of Troy
Akiwa mvivu aangalie movie Troy Brad Pitt kacheza kama achilies
 
Back
Top Bottom