ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
Sasa huyo Shilogile si alisema anazuia kwasababu ya nane nane, je 08.08 si ndiyo siku yenyewe au lengo lao ni kuwagawa kuwa wengine waende nane nane na wengine waende kwenye mkutano wa chadema na hapo watakuwa wamefanikiwa malengo yake....
Tarehe ya mkutano haipangwi na polisi.