Polisi wazuia mkutano wa UKAWA Zanzibar

Polisi wazuia mkutano wa UKAWA Zanzibar

Kilicho wakimbiza dom ni nn! Wameshindwa vp kueleza walitakalo wakiwa mjengoni? Mbona waliweza kutukanana bila haya! Wtz wajinga ndo waliwao.
Siku zaidi ya 40 walitumia fedha za wtz kujadili kura ama ya wazi/ siri. Wakaja hati.
Wanakuja kuwaeleza nn?
Wtz funguwe vichwa akili za kubebewa hatari kwenu!
Wanachokitaka:
1. Cuf ya zenji
2. Cdm tanganyika
3. Ccm tanzania shirokisho

wamepanga serikali 3 zitawale hivyo. Ajabu hawasemei mjengoni!

Muhimu tanzania kwanza na wala sio maslahi ya ujurumani, uk, ue.

Kisiwa cha zenji kilinuniliwa kwa kuzungushwa jora la kitambaa na sultani.

Wacheni tamaa. Wasujua dhamira yenu wapo wengi sana.

Kuhusu amani kuvurugika ni kweli hasa tukiendekeza viongozi kama hawa. Amani ipo wapi majambazi, vibaka, majangili, wafugaji na wakulima.
Vyama vya siasa na maandamano mikutano.
Mdizidi kuwaumiza watu kwa sababu ya umaskini wao.

Umaskini wa mtanzania mtaji wa mwana siasa.
 
Kwa hiyo ccm watavamia huo mkutano?
 
Hii inadhihirisha kuwa Mwigulu Nchemba kamwe hawezi kutupa bomu kwenye mihadhara ya Kinana na sherehe ya maiaka 50 ya muungano bali kwenye mihadhara ya UKAWA et al
 
Last edited by a moderator:
Intarahamwe and their cronies at work...eti ugaidi. Sherehe za miaka 50 ya muungano hazitafanyika? Mikusanyiko mingine mbona hawajazuia sehemu nyingine yoyote nchini.

Hizo tetesi za ugaidi wamezipata muda huu? Kwa hiyo wanathibitisha kuwa ugaidi wa kisiasa unafanywa na CCM? Maana hakuna mwingine anayeweza kufanya jambo against Ukawa!
 
!
!
duh!....sema nini,polisi wengi zenji wanatokea tanganyika. Watulie tu kwani ffu watahusika kuwapiga mabomu na kuwauwa bure.
 
Kilicho wakimbiza dom ni nn! Wameshindwa vp kueleza walitakalo wakiwa mjengoni? Mbona waliweza kutukanana bila haya! Wtz wajinga ndo waliwao.
Siku zaidi ya 40 walitumia fedha za wtz kujadili kura ama ya wazi/ siri. Wakaja hati.
Wanakuja kuwaeleza nn?
Wtz funguwe vichwa akili za kubebewa hatari kwenu!
Wanachokitaka:
1. Cuf ya zenji
2. Cdm tanganyika
3. Ccm tanzania shirokisho

wamepanga serikali 3 zitawale hivyo. Ajabu hawasemei mjengoni!

Muhimu tanzania kwanza na wala sio maslahi ya ujurumani, uk, ue.

Kisiwa cha zenji kilinuniliwa kwa kuzungushwa jora la kitambaa na sultani.

Wacheni tamaa. Wasujua dhamira yenu wapo wengi sana.

Kuhusu amani kuvurugika ni kweli hasa tukiendekeza viongozi kama hawa. Amani ipo wapi majambazi, vibaka, majangili, wafugaji na wakulima.
Vyama vya siasa na maandamano mikutano.
Mdizidi kuwaumiza watu kwa sababu ya umaskini wao.

Umaskini wa mtanzania mtaji wa mwana siasa.

Ni kama nasikiliza tangazo la vifo kwenye radio KBC, hata huwezi kuelewa nani kafa nani kafiwa, kifupi hueleweki, in short hujielewi, all in all jipange upya!!!! Hueleweki eti!! Eboo
 
kikwete na nterahamwe yake anajiandaa kuondoka madarakani kwa kumwaga damu, sumaye alisema kweli kuwa aliyeingia madarakani kwa kutumia hila na kuchafua wenzie ATAONDOKA KWA KUMWAGA DAMU!
 
Siku zote madikteta hujaribu kutumia propoganda na visingizio kibao kuzima sauti za wanchi, hata hivyo maji yakizidi unga hutoka baruti kuokoa nafsi zao, lukuvi kimbelembele ndio anamponza kikwete
 
Polisi wa Tanzania ndio watakao sababisha uvunjifu wa amani pindi wananchi watakapogundua kuwa wanawanyima haki yao ya kupewa taarifa.
 
Duh!! MaCCM kweli hii ni SHIIDAA Kinana anazurura maeneo mbalimbali nchini na kufanya Mikutano ya Hadhara sijasikia Mkutano wake hata mmoja umehairishwa na Polisi kwa tishio la UGAIDI, Kwa hiki wanachokifanya Polisi inamaanisha matukio ya Ugaidi utokea kwenye mikutano ya vyama vya upinzani tu? kama ni hivyo gaidi ni nani anaelenga kufanya ugaidi katika mikutano hiyo? JIBU SAHIHI GAIDI NI CCM(Mwigulu) kwani hakuna adui mkubwa wa vyama vya upinzani nchini zaidi ya CCM.

Ningeshaa sana kama mkutano huu ungefanyika,
1UKAWA si chama cha siasa.ni kundi fulani ndani ya bunge tu
2)Hao UKAWA wametoroka kazi bungeni baada ya kutumia fedha nyingi za umma
3)Hao UKAWA wametoroka bungeni baada ya kukashifu waasisi na wakiwa na munkari
4)Kwa maana hii walikuwa wanaenda kuendeleza munkari na kashfa zao mitaani
5)KINANA hajatoroka bungeni,hajakashfu mtu hat mdogo na hana munkari wowote
 
Serikali inabidi iwe makini sana katika kulishughulikia suala hili. Kutumia hila, vitisho, mabavu na ulaghai hakutatua tatizo hili
 
Sipendi kikwete afikishwe mahali pa kukimbia nchi, pamoja na udhifu wake napenda amalize nchi ikiwa sala, ila akijifanya hanazo kuwasikiliza lukuvi na wasira atajikuta mhanga kama akina idd amin, mobutu, raisi wa tunisia, mubarak wa misri n.k . Huu moto wa wapinzani si wa mabua utambabua
 
Maji ya kuwasha moshi wa kuwasha virungu vikitembea watakaoumia ni hao wtz maskini. Viongozi wao wote wametilia mahotelini kwa raha zao hata habari hawana nn kimejiri. Wewe ndugu ndo na umasikini hiyo afya yakutafutiya rizki umeipaleka kumjenga mtu wee unajobomoa.
 
Tena awapuuze sana wachumia tumbo na wanamipasho, amelinzisha alimalize pamoja na kurwale ambao wangemsaidia watukanwe na wahuni wa mitaani waitwao wajumbe wa katiba maalum
 
Siku zote madikteta hujaribu kutumia propoganda na visingizio kibao kuzima sauti za wanchi, hata hivyo maji yakizidi unga hutoka baruti kuokoa nafsi zao, lukuvi kimbelembele ndio anamponza kikwete
In short Lukuvi amedhihirisha umbumbumbu wake kwa kujikuta anatetea hoja kwa kutumia point ya kipuuzi kuliko zote na ya kuogofya nafsi ya kila reasonable man.
Huu udini unaoenezwa na Lukuvi ni matokeo ya dhambi wanayofanya CCM kutumia udini kukandamiza wale wanaowahofia.
Udini umebackfire kwa CCM na umedhihirishwa kupitia kinywa cha Lukuvi kama muwakilishi wa ofisi ya waziri yani ni maagizo kutoka Ikulu.
 
Kilicho wakimbiza dom ni nn! Wameshindwa vp kueleza walitakalo wakiwa mjengoni? Mbona waliweza kutukanana bila haya! Wtz wajinga ndo waliwao.
Siku zaidi ya 40 walitumia fedha za wtz kujadili kura ama ya wazi/ siri. Wakaja hati.
Wanakuja kuwaeleza nn?
Wtz funguwe vichwa akili za kubebewa hatari kwenu!
Wanachokitaka:
1. Cuf ya zenji
2. Cdm tanganyika
3. Ccm tanzania shirokisho

wamepanga serikali 3 zitawale hivyo. Ajabu hawasemei mjengoni!

Muhimu tanzania kwanza na wala sio maslahi ya ujurumani, uk, ue.

Kisiwa cha zenji kilinuniliwa kwa kuzungushwa jora la kitambaa na sultani.

Wacheni tamaa. Wasujua dhamira yenu wapo wengi sana.

Kuhusu amani kuvurugika ni kweli hasa tukiendekeza viongozi kama hawa. Amani ipo wapi majambazi, vibaka, majangili, wafugaji na wakulima.
Vyama vya siasa na maandamano mikutano.
Mdizidi kuwaumiza watu kwa sababu ya umaskini wao.

Umaskini wa mtanzania mtaji wa mwana siasa.

Acha u........... wewe, ongea vya maana.
 
Back
Top Bottom