Ukawa walijua wamekwenda kwenye bunge la katiba wote kama wajumbe kujadili Rasimu kumbe magamba wana ajenda yao,bada ya kubaini ndio hivyo.waulize ndugu zako magamba wanabembeleza nini Ukawa warudi wao si wengi wapitishe katiba yao tu.swala la posho unafiki wa magamba kwasababu posho inatakiwa ilipwe kila unapoingia kikaaoni kulipa wajumbe kabla ya kikao nimakosa na hata ukawa wangekataa isingesaidia wangewekewa kwenye akaunti zao(unakumbuka issue ya Zitto alikataa posho lakini zikaingizwa kwenye akaunti)