Polisi wazuia mkutano wa UKAWA Zanzibar

Polisi wazuia mkutano wa UKAWA Zanzibar

[h=1][/h]


kibali-564x272.jpg
Jeshi la Polisi Zanzibar limezuia mkutano uliokuwa ufanyike kesho tarehe 19 April 2014 kwa Sababu za kiusalama. Nakala ya barua hiyo kwa Katibu Mkuu wa CUF inaeleza kuwa Jeshi hilo limefikia hatua hiyo kutokana na hali ya KIUSALAMA WA NCHI.
 
Hiyo ni kiki kwa UKAWA. hawa jamaa wamepigwa upofu hata hawajui wanachokifanya ni kama wajenga mnara wa BABELI. Msiwe na hofu waacheni waendelee kuukimbiza upepo, ni mbwembwe tu - serikali tatu haziepukiki.
 
Tangu kiongozi mmoja kuvunjoka mkono ktk mkutano mbagala nani mwingine umemsikia humu siasani. Wanawategemea walala hoi kufanilisha haja zao
napenda kuwaona mjengoni wakijengeana hoja kujenga maisha ya wananchi na si yao. Wanakimbia nn wakati mwisho wa yote ni mwananchi kuamua, baada ya kupima mahitajiyo yake . Katiba hii kiridhia au laa. Ni muhimu kujitambua nn tunahitaji katika mfumo huu wa katiba.
Kwa kutaka uogozi tu utachanganywa ukabila, udini, uchama, usiasa, ujmbo na hata ukanda.
 
Mijadala ya katiba kwa wajumbe walioteuliwa kuandaa katiba mpya iwe Bingeni na isiwe vinginevyo. Hawa UKAWA wasilete ubabaishaji wa kulazimisha hoja zao. Kama vipi serikali ifutilie mbali utungaji wa katiba mpya na tuendelee na tuliyonayo, kuliko kupoteza mamilioni ya pesa wakati Hospitali, shule na huduma nyingine za kijamii hakuna vitendea kazi. Foolish UKAWA!

bunge liliundwa kujadili rasimu na hatimae kutengeneza katiba,ccm wamefanya hivyo?,wao wamekuja na mapendekezo yao ambayo waliapaswa wayatoe kwenye tume.ok siku hazigandi kitaeleweka tu,ipo siku hao policcm watakosa kisingizio.nao hao ccm wanaogopa nini na wanapendwa na watanzania walio wengi?.
 
Kuna taarifa zipi za kitilijinsia zinazoonesha huo ugaidi unao semwa?
 
Mijadala ya katiba kwa wajumbe walioteuliwa kuandaa katiba mpya iwe Bingeni na isiwe vinginevyo. Hawa UKAWA wasilete ubabaishaji wa kulazimisha hoja zao. Kama vipi serikali ifutilie mbali utungaji wa katiba mpya na tuendelee na tuliyonayo, kuliko kupoteza mamilioni ya pesa wakati Hospitali, shule na huduma nyingine za kijamii hakuna vitendea kazi. Foolish UKAWA!

upoteze mara ngapi kwanin kabla ya bunge usinge shauri hayo mabilioni kupelekwa kwenye hizo taasisi za hudima za kijamii
 
Mijadala ya katiba kwa wajumbe walioteuliwa kuandaa katiba mpya iwe Bingeni na isiwe vinginevyo. Hawa UKAWA wasilete ubabaishaji wa kulazimisha hoja zao. Kama vipi serikali ifutilie mbali utungaji wa katiba mpya na tuendelee na tuliyonayo, kuliko kupoteza mamilioni ya pesa wakati Hospitali, shule na huduma nyingine za kijamii hakuna vitendea kazi. Foolish UKAWA!

Hata wasingeyatafuna hayo mamilioni sisi tusingeambulia hata senti tena ndo yangetafunwa na wachache zaidi ni bora wayatafune ilimradi mzunguko wa pesa uongezeke mitaani kwetu.
 
mkutano wa hadhara wa UKAWA uliokuwa ufanyike kesho hapa Zanzibar umepigwa stop na jeshi la polisi kwa madai kuwa ni sababu za kiusalama , hasa katika kipindi hichi cha skukuu
Ukawa ni kitu gani kwenye katiba ya wananchi? Kwani wanadhani kimtazamo kwa watanzania wanapendezwa na kunungunika kwao? Hivi kitu gani so special kwao kiasi cha kutaka kunywa sumu kwa kutaka serikali tatu? Kwa watanzania makini kimsingi ni serikali mbili, moja, tatu, au hata nne ingewezekana mwisho wa siku siyo tiba ya mahitaji yetu. Hivyo isitazamwe kama wajumbe hao wametumwa kudai lazima iwe wanavyoona wao, kwa maana ukawa au ccm. Tunachotaka tumekwama wapi na tunatokaje tulipo. Watanzania katiba si jibu la kila kitu kwetu bali ni namna nzuri ya kujiwekea njia ya waliojuu kuendelea kuwa walipo sasa (iwe ukawa au ccm).
 
Hapa ndo penyewe ukawa wakiogopa tamko hilo bora wavunje sasa vyama vyao waungane tu na CCM, vingine muda huu ndo wakuionyesha serikali kuwa sasa ni muda wa mapambano halisi na si lelema kama zamani
 
ccm kuandamana na kuwatukana UKAWA ni ruksa lakini kinyume chake ndio hayo mabarua! Bukoba leo kulikuwa na mkutano mkubwa wa ccm, huko usalama 100%
 
Ningeshaa sana kama mkutano huu ungefanyika,
1UKAWA si chama cha siasa.ni kundi fulani ndani ya bunge tu
2)Hao UKAWA wametoroka kazi bungeni baada ya kutumia fedha nyingi za umma
3)Hao UKAWA wametoroka bungeni baada ya kukashifu waasisi na wakiwa na munkari
4)Kwa maana hii walikuwa wanaenda kuendeleza munkari na kashfa zao mitaani
5)KINANA hajatoroka bungeni,hajakashfu mtu hat mdogo na hana munkari wowote

wangetoa sababu hizo basi kuliko kusingizia ugaidi.wanaogopa nini si walichaguliwa na wananchi na bado wanapendwa hofu iko wapi?.
 
Ugaidi or no Ugaidi! polisi or no polisi! Mkutano tutafanya! Waje na vifaru smg ak 47 mabomu maji ya kuwasha mkutano uko palepale! Hii nchi yetu sote hatukubali kunyanyaswa!
 
Sidhani kama wataweza kuzuia mikutano hiyo kila sehemu nchini na wakifanya hivyo wanapika bomu na litalipuka tu.
 
Mchakato wa katiba lazima kina ruto na uhuru kenyeta wa tanzania wapatikane, wakati wakati wanchi wa libya wanaanza maandamano gadafi akujua kama atazidiwa kwa kuwa alitegemea sana jesh lkn matokeo yake sasa hivi yuko
 
Back
Top Bottom