Polisi wazuia mkutano wa UKAWA Zanzibar

Polisi wazuia mkutano wa UKAWA Zanzibar

mkutano wa hadhara wa
UKAWA uliokuwa ufanyike kesho hapa Zanzibar umepigwa stop na jeshi la
polisi kwa madai kuwa ni sababu za kiusalama , hasa katika kipindi hichi
cha skukuu

Mkuu itakuwa vema ukituwekea source ya habari yako.
Kwa ninavyojua sikuku ya pasaka haiwezi kuwa sababu ya kutofanyika mkutano kwani zenj wakristu ni wachache sana istoshe kesho ni j.mosi na pasaka ni j2.

BACK TANGANYIKA
 
Hivi kwa nini Kinana na Nape wanazunguka nchi mzima kufanya mikutano hatujawahi kusikia mikutano yao imepigwa stop kwa sababu za kiusalama?
 
Mijadala ya katiba kwa wajumbe walioteuliwa kuandaa katiba mpya iwe Bingeni na isiwe vinginevyo. Hawa UKAWA wasilete ubabaishaji wa kulazimisha hoja zao. Kama vipi serikali ifutilie mbali utungaji wa katiba mpya na tuendelee na tuliyonayo, kuliko kupoteza mamilioni ya pesa wakati Hospitali, shule na huduma nyingine za kijamii hakuna vitendea kazi. Foolish UKAWA!
 
Hawa ndio maadui wakuu wa Tanzania
1.Nyerere
2.CCM
3.Rushwa
4.Ufisadi
5.Ubinafsi wa viongozi wa ccm
6.Ujangiri
7.......
8........
9........
10.......
 
Hivi kwa nini Kinana na Nape wanazunguka nchi mzima kufanya mikutano hatujawahi kusikia mikutano yao imepigwa stop kwa sababu za kiusalama?

Mkuu hapo no utaona tofaut ya ssm na ukawa, halafu ya maafa yale ya kipindi kile naiona, naomba busara itumike, isije kutokea kama ya mwaka ule... Mtoa taarifa ataje source ya newz
 
Hivi kwa nini Kinana na Nape wanazunguka nchi mzima kufanya mikutano hatujawahi kusikia mikutano yao imepigwa stop kwa sababu za kiusalama?
nadhani hao wengine hukosea kutangaza mikutano yao kama confrotational flani.
 
Kwanza ndo kazi inaanza mbona watakoma mwaka huu
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA
 
Mimi nashauri mkutano ufanyike na kila MTU aje na zana za kazi ili gaidi akija tuue kabisa ili kukomesha ugaidi. Inamaana gaidi huyu ni kwa mikutano ya upinzani tu? Huyu gaidi gani asiyelenga mikutano ya Kinana na Nape? UKAWA tupo nyuma yenu tufanyeni tu mkutano hiyo kesho. Saa ya ukombozi ni sasa . Tunajeshi LA wananchi JWTZ kazi yao nini si waje kutulinda dhidi ya huyo gaidi. Au JWTZ wanasubiri sikuu au msiba wa rais wacheze gwaride na kulipua mizinga tu. BTW Polisi hawazidi elfu 10 wakati wananchi ni zaidi ya millions. Tukiamua tunawamaliza.
 
Hapa intarahamwe CCM wanataka katiba ya damu na si vinginevyo kwa kuwa wapinzani hawatakubali kunyamazishwa kilaini namna hiyo watakaidi hilo agizo la Polisi na mwisho wake ni wananchi kupewa vilema au kuuawa. Busara ya wapi hii ya kulazimisha idea za wachache?
 
Hakuna kurudi nyuma Ukawa wafanye huo mkutano...intarahamwe chupi zishaanza kuwabana
 
Mikutano inayofanyika na ccm ni yakukagua miradi iliyofanywa kwa ahadi na ilani ya uchaguzi, sasa kama cdm kuna walichofanya huko mikoani nao wapite wakakague maendeleo sio kupita kurudia mambo ambayo walishayafanya na chopa wakati mchakato ukiendelea .mpaka hapo nadhani umenielewa
Hivi kwa nini Kinana na Nape wanazunguka nchi mzima kufanya mikutano hatujawahi kusikia mikutano yao imepigwa stop kwa sababu za kiusalama?
 
katiba.jpg

Mkutano wa kesho Jumamosi tarehe 19/04/2014 umefutwa. Sababu iliyotolewa na Kamishna wa jeshi la Polisi Zanzibar ni hofu ya uwezekano wa kutokea vitendo vya ugaidi siku ya kesho.
 
heheheh...Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti.....!!!
 
Back
Top Bottom