Ahmed Omar_
Senior Member
- Jul 17, 2012
- 128
- 195
TANGAZO!
Baada ya CCM kushtushwa na mapambano makali ya UKAWA yaliyohamia nje ya Bunge la Katiba, waamua kulitumia jeshi la Polisi kuzuia Mikutano ya hadhara ya UKAWA.
Mkutano wa kesho Jumamosi tarehe 19/04/2014 wafutwa rasmi. Sababu iliyotolewa na Kamishna wa jeshi la Polisi Zanzibar ni hofu ya uwezekano wa kutokea vitendo vya ugaidi siku ya kesho.
Wazalendo wote vuteni subra, nguvu ya umma haizuiliki!
HAKUNA KUSIMAMA MPAKA KIELEWEKE!