MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,604
thibitisha kauli yakosafi kabisa tatizo huyu anafujo akiruhusiwa ataleta vurugu na mauaji safi sana
thibitisha kauli yakosafi kabisa tatizo huyu anafujo akiruhusiwa ataleta vurugu na mauaji safi sana
utawaponza wenzio wakaumizwe nenda wewe kama unataka kuchakaaNitawashangaa wana Hai na Mbowe wao wakiufyata...huu ujinga CHADEMA Ssasa mnakuwa kenge. Mambo ya amani na upuuzi mwingine peleka hukoooo
Mm nashangazwa nahawa serekali kwanini hawasimamii wanacho kisema tumeona hatakwasisi wavuvi mtu unakuwa nazana inayotakiwa kisheria kwakujua hilo wanakuchomea bila hatakukupeleka mahakamani wanateka engin zakutusaidia kwenda nakurudi kuvua wanasema zikombolewe kwapesa ML 1 kwakila moja jamaa waongo nakunamtu anajiitamtetezi wa wanyonge anayofanya nimakubwa lakini kulingana nahali zetu makubwa yake yamemezwa nadhuluma kubwa tunayofanyiwa wananchi hata kuwasikiliza tuliowachagua nidhuluma kubwa tukinyimwa kupata haki hiyo
Mkuu Mbowe kafiwa na kaka yake hivyo kaahirisha mikutano yake nataka nione kama na Dc naye ataendelea au atasubiri mpk mbowe atangaze tena ziara.Nitawashangaa wana Hai na Mbowe wao wakiufyata...huu ujinga CHADEMA Ssasa mnakuwa kenge. Mambo ya amani na upuuzi mwingine peleka hukoooo
Barua imekaa kistaarabu kabisa, Hongera Jeshi la Polisi (HAI)
Tatizo sio wao.ni katiba yetu.
Polisi pigeni kazi.
hata kina Nape, January, Membe, Kinana & Makamba nao walikuwa wakisema hivi hivi.Polisi pigeni kazi.
Hongera sana kwa kuogopa mikutano ya wapinzaniBarua imekaa kistaarabu kabisa, Hongera Jeshi la Polisi (HAI)
Kwa hiyo hutaki polisi wapige kazi, au?Kwali hali hii itakuchukua muda mrefu sana kurudia afya njema ya akili, pamoja na matibabu mazuri unayoendelea kupata. Pole.
Utasubiri hadi unazeeka.hata kina Nape, January, Membe, Kinana & Makamba nao walikuwa wakisema hivi hivi.
na wewe zamu yako yaja!!
Nape alikuwa akitoa kashfa kukuzidi wewe!!Utasubiri hadi unazeeka.
Hatufanani.Nape alikuwa akitoa kashfa kukuzidi wewe!!
Hivi CCM mnaweza kushinda kweli bila polisi?Polisi pigeni kazi.
Kawafundishi kutokuufyata ,wewe si mjuaji kuliko watu wa haiNitawashangaa wana Hai na Mbowe wao wakiufyata...huu ujinga CHADEMA Ssasa mnakuwa kenge. Mambo ya amani na upuuzi mwingine peleka hukoooo
ona hapa chini huyu ex-zombie mwenzio, akili zishaanza kumrudia kabla hakijanuka....Hatufanani.