Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,505
- 51,111
CCM chama cha waoga
Bila polisi na vyombo vya dola chepesi kushinda manyoya
Bila polisi na vyombo vya dola chepesi kushinda manyoya
wacha akaonyeshwe watu wanavyochakaaaaKawafundishi kutokuufyata ,wewe si mjuaji kuliko watu wa hai
Haya, sawa.Tko msibani kwanza
Ova
Tulia we mbugilaMbowe hana cha kuwaambia wananchi zaidi ya kuwapotezea muda na kujilipa ruzuku ya chama
safi kabisa tatizo huyu anafujo akiruhusiwa ataleta vurugu na mauaji safi sana
Hali ishakuwa tete , maajabu Mbunge aliyechaguliwa kidemokrasia na wananchi kuzuiwa kufanya mkutano na wananchi waliomchagua ,
Mkuu wa wilaya ni nani mpaka azuie mbunge kusikiliza wananchi , this is so terrible
Si amefiwa na kaka yake akazike kwanza
[/QUOTE]safi kabisa tatizo huyu anafujo akiruhusiwa ataleta vurugu na mauaji safi sana
Yaani hawa jamaa huwa na reasons za kipuuzi sana.. Kwani kupanga huyu awe huku na huyu awe huku kuna shida gani? Kwani haijulikani huyo mpenda hongo atakuwa ana kagua wapi kama ni kweli? Ati vitendea kazi, uki pita hapo Boma kila baada ya hatua mbili kuna trafiki barabarani ila polisi utaambiwa hakuna wa kulinda mkutano wa Mbunge. Mtaibeba Ccm hadi lini ni nyie polisi?