Polisi wazuia mikutano ya Mbowe katika jimbo lake kutokana na ziara za DC Sabaya

Mm nashangazwa nahawa serekali kwanini hawasimamii wanacho kisema tumeona hatakwasisi wavuvi mtu unakuwa nazana inayotakiwa kisheria kwakujua hilo wanakuchomea bila hatakukupeleka mahakamani wanateka engin zakutusaidia kwenda nakurudi kuvua wanasema zikombolewe kwapesa ML 1 kwakila moja jamaa waongo nakunamtu anajiitamtetezi wa wanyonge anayofanya nimakubwa lakini kulingana nahali zetu makubwa yake yamemezwa nadhuluma kubwa tunayofanyiwa wananchi hata kuwasikiliza tuliowachagua nidhuluma kubwa tukinyimwa kupata haki hiyo
 
Nitawashangaa wana Hai na Mbowe wao wakiufyata...huu ujinga CHADEMA Ssasa mnakuwa kenge. Mambo ya amani na upuuzi mwingine peleka hukoooo
Mkuu Mbowe kafiwa na kaka yake hivyo kaahirisha mikutano yake nataka nione kama na Dc naye ataendelea au atasubiri mpk mbowe atangaze tena ziara.
 
Hata polisi SA walifanya hivyo hivyo. Pia wananchi (weusi) walitakiwa kukaa na kutotoka maeneo yao pasipokuwa na vibali (pass) zaidi ya kuua na mahakama zao kutoa hukumu za kifo na vifungo vya maisha hovyo hovyo.
Yule shetani alietoka kwa makaburu yaonekana alihamia kwako na kijani wenzio.
Barua imekaa kistaarabu kabisa, Hongera Jeshi la Polisi (HAI)
 
Hatufanani.
ona hapa chini huyu ex-zombie mwenzio, akili zishaanza kumrudia kabla hakijanuka....

na wewe hujachelewa, rudisha akili, over!

20190729_154536.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom