Polisi wazuia mikutano ya Mbowe katika jimbo lake kutokana na ziara za DC Sabaya

--
tapatalk_1564401147504.jpeg
67409205_2940411019333449_7039358051324788736_n.jpeg
 
Usalama utakuwa mdogo ndio maana polisi wamesema Mkuu wa wilaya akimaliza ziara yake, Mbowe atapewa nafasi sio amezuiwa.. Au kiswahili kigumu sana
 
Wapinzani wamelala sana tena sana, kwa nn usihamasishe watu wako kuichukua haki yao ya kumsikiliza mbunge wao kwa hata kwa maandamano. Hamuoni kwa Putin hakuna manyanyaso
 
safi kabisa tatizo huyu anafujo akiruhusiwa ataleta vurugu na mauaji safi sana
 
Hali ishakuwa tete , maajabu Mbunge aliyechaguliwa kidemokrasia na wananchi kuzuiwa kufanya mkutano na wananchi waliomchagua ,

Mkuu wa wilaya ni nani mpaka azuie mbunge kusikiliza wananchi , this is so terrible
Conflict of interest! Wanaozuia wana mapenzi na chama tawala, kamwa hawawezi kuwa fair.
 
Conflict of interest! Wanaozuia wana mapenzi na chama tawala, kamwa hawawezi kuwa fair.
Na usishangae MBOWE akifanikiwa kufanya mkutano Sabaya akavuliwa u-DC kwa kushindwa kumdhibiti Mbowe
 
We Jamaa una akili kweli?
ninazo tena nyingi sana huyo hana kesi ya kuleta vurgu inaendelea mbona mnakuwa na ushabiki wa kijinga hakuna mkutano wowote kwa anayeonekana anhatarisha usalama wa raia wema
 
Back
Top Bottom