Polisi wazuia mikutano ya Mbowe katika jimbo lake kutokana na ziara za DC Sabaya

Anamsiba hata kama angeruhusiwa asingeweza kufanya
Ujuwe hila nikitu kibaya muda DC Sabaya atakuwa ziarani Hai Mbowe atakuwa msibani hivyo DC akimaliza Mbowe atakuwa amemaliza msiba hapo aibu ya DC naikumbukwe msibani Mbowe atazungukwa na wapiga kura pole DC
 
Kwamba mkuu wa wilaya (ambaye ameteuliwa na rais) ana preference kuongea na wananchi kuliko mbunge ambaye wananchi hao wamemchagua kuwawakilisha serikalini? Kuna dosari hapa.
 
Ukisoma hiyo barua haijazuia bali imemtaka apeleke mikutano yake mbele baada ya mkuu wa wilaya kumaliza ziara yake.
Tarehe ya kuanza ziara ya DC imetajwa,hebu tafuta tarehe ya kumaliza ziara,je nayo imetajwa?
 
Wananchi sasa hawahitaji tena kufumbuliwa macho kuwa utawala huu unaokataza wasisemwe in utawala wa Giza.
Watakuwa wamekaa kimya ili kuwa tandika kwenye uchaguzi wa 2020.
In wajibu wa uongozi wa vyama vya upinzani kwa sasa kupigania sheria za uchaguzi na usimamizu ziwe fair kwa kadri ya uwezo wao maana kampeni ya kutambulisha ubovu na uonevu inafanywa vyema na Polisi wetu bila kujua.
Ukimzuia kiongozi wa Chadema asifanye mkutano wake wakati huo unamruhusu wa CCM ahutubie na maandamano afanye unadhani inahitaji miujiza kumwelewesha mtu kuwa kuna kitu unaficha?
Mbona Mbowe hajalalamika unalalamika wewe
 
Wenye Akili tumesha jua "Jamaal ni Mshamba sana tena kachanganyikiwa na anaogopa hata kurudi Bandarini" Akiona nyomi ya Hai chini ya Kamanda wa Anga anaweza kuhamisha tena makao makuu kuwa C...h...a..to. Hamuwez kuzui kifo nyambaf
 
Hali ishakuwa tete , maajabu Mbunge aliyechaguliwa kidemokrasia na wananchi kuzuiwa kufanya mkutano na wananchi waliomchagua ,

Mkuu wa wilaya ni nani mpaka azuie mbunge kusikiliza wananchi , this is so terrible

Ccm asilia wanaibishwa left right and centre.
 
mkuu wa wilaya anaziara muhimu jimboni Hai hivyo atulie kwanza wenye akili zao wamalize shuguri ndiyo nae aende
 
Barua imekaa kistaarabu kabisa, Hongera Jeshi la Polisi (HAI)
Halafu mtu anajitutumua kuwa CCM inapendwa!!!!!
Achani ubabe muweke mpira kati muwaonyeshe watu kuwa its real.....mnabebwa hadi mnabore
Nonsense!
 
mkuu wa wilaya hapangiwi siku ya kufanya ziala na siku ya kumaliza hivyo mbowe atasubiri sana tu
 
Back
Top Bottom