Polisi wazuia mikutano ya Mbowe katika jimbo lake kutokana na ziara za DC Sabaya

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,034
144,388
1564398090068.png
 
Wananchi sasa hawahitaji tena kufumbuliwa macho kuwa utawala huu unaokataza wasisemwe in utawala wa Giza.
Watakuwa wamekaa kimya ili kuwa tandika kwenye uchaguzi wa 2020.
In wajibu wa uongozi wa vyama vya upinzani kwa sasa kupigania sheria za uchaguzi na usimamizu ziwe fair kwa kadri ya uwezo wao maana kampeni ya kutambulisha ubovu na uonevu inafanywa vyema na Polisi wetu bila kujua.
Ukimzuia kiongozi wa Chadema asifanye mkutano wake wakati huo unamruhusu wa CCM ahutubie na maandamano afanye unadhani inahitaji miujiza kumwelewesha mtu kuwa kuna kitu unaficha?
 
Hahaha mbona Mbowe aliisha ahirisha mikutano yote kwa sababu kafiwa na kaka yake, na alisema alisha vitaarifu vyombo husika?!
Au wamejisikia tu kuandika, na mbona hawasemi hiyo ziara inaanza lini na kuisha lini au atakagua hiyo miradi indefinite.
 
Hiyo ndo kazi ambayo Sabaya ametumwa sasa kuifanya Hai.. Hayo ya kula rushwa wala jiwe hana habari nazo.. Definition ya rushwa kwa jiwe ni tofauti sana general definition ya rushwa..
 
Back
Top Bottom