Hata kama umejaza chuki nyingi kichwani mwako dhidi ya Kamuhanda...jaribu kuwa muungwana kidogo, je angeacha wachome nyumba ya mtu mwingine kwa imani za kishirikina?? Tumia busara japo kidogo...fikiri kwa akili kidogo kamaHuyu kamuhanda anapenda force,kuwatawanya 4 what.
Wasomi Amerika, Ulaya na Asia wanahangaika na kuvumbua mambo makubwa makubwa sisi wasomi wa Kiafrika bado tunaamini na kueneza mambo ya misukule, vibwengo na vinyamkera. Aibu aibu aibu.haya mambo siyo mageni, hapo kinondoni muslim, gari liliwahi kugonga nyumba na dalini alitoka msukule. Huyo msukule iliidaiwa alizikwa miaka ya sitini na alikuwa na nywele ndefu mpaka nyayoni. Huyu msukule nimemuona kw amacho yangu hapo soko mjinga kinondoni na hupenda sana kuchezadraft au kuangalia bao ila hasemi. wewe nenda hapo soko mjinga halafu ulizia huyu mtu, muuzaji wa sokoni yeyote atakuonesha.