Polisi waogopa nguvu ya Umma, waruhusu Mkutano wa ndani wa CHADEMA

Sasa nyinyi CHADEMA hamueleweki mkiachiwa mfanye mikutano mnatoa maneno ya kukashifu polisi...jaribuni kuelimika ndugu zangu.
Wameachiwa na nani wakati katiba inawaruhusu?

Tuwalaani hao polisi waovu wanaotaka kuvunja katiba. Mwovu dhidi ya katiba na sheria zetu ameondoka, tunataka aondoke na uovu wote aliouasisi. Hii nchi ni ya watu wasitaarabu. Hao polisi primitive wajue hawana nafasi katika Tanzania iliyostaarabika.
 
Kumbe mkutano wenyewe unaendeshwa na hako kakijana kakutoka usukumanii?? Wakaachie tuuu kajipigie story na vijaana wenziee.
 
Hikikundi mjitaidi kuelimikaa. Kwani akiamua raisi chochote anaweza zuia.
 
Umenena kweli tupu
 
Polisi wakiwaacha wamewaigopa sio?
 
siasa sio vita. kama waliaminishwa ni vita basi waende huko Somalia ka Mohamed Farmaajo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…