Polisi waogopa nguvu ya Umma, waruhusu Mkutano wa ndani wa CHADEMA

Sasa nyinyi CHADEMA hamueleweki mkiachiwa mfanye mikutano mnatoa maneno ya kukashifu polisi...jaribuni kuelimika ndugu zangu.
Wameachiwa na nani wakati katiba inawaruhusu?

Tuwalaani hao polisi waovu wanaotaka kuvunja katiba. Mwovu dhidi ya katiba na sheria zetu ameondoka, tunataka aondoke na uovu wote aliouasisi. Hii nchi ni ya watu wasitaarabu. Hao polisi primitive wajue hawana nafasi katika Tanzania iliyostaarabika.
 
Baada ya kelele za kuwakumbusha kuwa hatuko tena awamu ya tano, kwa aibu na fedheha kubwa kama kuku aliyenyeshewa mvua Polisi wamekubali mkutano wa ndani wa Chadema ufanyike.

Fedheha nyingine Polisi mnazitaka wenyewe, sasa mmebadilisha kile mlichokua mnakiamini. Mkajua mko awamu ya kusifiwa na kujipendekeza.

View attachment 1777206
Kumbe mkutano wenyewe unaendeshwa na hako kakijana kakutoka usukumanii?? Wakaachie tuuu kajipigie story na vijaana wenziee.
 
Wameachiwa na nani wakati katiba inawaruhusu?

Tuwalaani hao polisi waovu wanaotaka kuvunja katiba. Mwovu dhidi ya katiba na sheria zetu ameondoka, tunataka aondoke na uovu wote aliouasisi. Hii nchi ni ya watu wasitaarabu. Hao polisi primitive wajue hawana nafasi katika Tanzania iliyostaarabika.
Hikikundi mjitaidi kuelimikaa. Kwani akiamua raisi chochote anaweza zuia.
 
Wameachiwa na nani wakati katiba inawaruhusu?

Tuwalaani hao polisi waovu wanaotaka kuvunja katiba. Mwovu dhidi ya katiba na sheria zetu ameondoka, tunataka aondoke na uovu wote aliouasisi. Hii nchi ni ya watu wasitaarabu. Hao polisi primitive wajue hawana nafasi katika Tanzania iliyostaarabika.
Umenena kweli tupu
 
Hii nayo imewastua
IMG_20210508_130211.jpg
 
Baada ya kelele za kuwakumbusha kuwa hatuko tena awamu ya tano, kwa aibu na fedheha kubwa kama kuku aliyenyeshewa mvua Polisi wamekubali mkutano wa ndani wa Chadema ufanyike.

Fedheha nyingine Polisi mnazitaka wenyewe, sasa mmebadilisha kile mlichokua mnakiamini. Mkajua mko awamu ya kusifiwa na kujipendekeza.

Polisi wakiwaacha wamewaigopa sio?
 
Baada ya kelele za kuwakumbusha kuwa hatuko tena awamu ya tano, kwa aibu na fedheha kubwa kama kuku aliyenyeshewa mvua Polisi wamekubali mkutano wa ndani wa Chadema ufanyike.

Fedheha nyingine Polisi mnazitaka wenyewe, sasa mmebadilisha kile mlichokua mnakiamini. Mkajua mko awamu ya kusifiwa na kujipendekeza.

siasa sio vita. kama waliaminishwa ni vita basi waende huko Somalia ka Mohamed Farmaajo
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom