ndugu wacha hicho wamekamata mtoto akila kichwa muhimbili na wakamwambia ajaribu akala mpaka leo hii UPELELEZI AUJAKAMILIKA...HAO WASANII WATAISHIA KUMCHEZEA NA KUMLA HELA YAKE
Adui ujinga at work
Duuuuh! Kahama noma,si juzi majambazi yameua askari wawili? ngoja tusubiri kesho tuone nini kitatokea.
Polisi mjini kahama wamemkata kijana mmoja na kichwa binadamu kijana huyo alishtukiwa na polisi baada ya kumuona ana analanda landa katika eneo la benki ya crdb.baada kuhojiwa amesema alikuwa anamtafuta mteja wake waliekubariana kukutana benki ili wauziane kichwa hicho.mpaka sasa ninavyo andika habari hii mtuhumiwa pamoja na bidhaa yake amefikishwa kituo cha polisi kwa mahojiano zaidi.
Sijaelewa.
ndugu wacha hicho wamekamata mtoto akila kichwa muhimbili na wakamwambia ajaribu akala mpaka leo hii UPELELEZI AUJAKAMILIKA...HAO WASANII WATAISHIA KUMCHEZEA NA KUMLA HELA YAKE