Polisi wahaha juu ya kauli ya CHADEMA kuimarisha ulinzi wa viongozi kupitia Red Brigade

Nasikiliza TBC hapa ofisini kwangu, nakutana kwa bahati na taarifa ya Saa ya TBC. Taarifa inamnukuu msemaji wa Polisi Senso akisema kwamba, hakuna chama cha siasa kinachoruhusiwa kuanzisha kikundi cha ulinzi. senso akaenda mbali zaidi na kusema kwamba kauli ya m/kiti wa Chadema ya kuanzisha kikundi hicho ni kinyume na Sheria.

MY TAKE.
Ni jambo bahati mbaya sana kwamba polisi sasa wamegeuka kuwa watendaji wa ccm.
Na duniani kote ilikowahi kutokea machafuko, chanzo chake ni vyombo vya dola kupendelea upande mmoja kati ya vyama vya upinzani vilivyopo.
Huko mbele tuendako tunahitaji Neema ya Mungu ili tufike salama kutokana na uonevu huu wa vyombo vya dola usiokubalika.

Mkuu unasikiliza ama Kuangalia TBC ??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Nasikiliza TBC hapa ofisini kwangu, nakutana kwa bahati na taarifa ya Saa ya TBC. Taarifa inamnukuu msemaji wa Polisi Senso akisema kwamba, hakuna chama cha siasa kinachoruhusiwa kuanzisha kikundi cha ulinzi. senso akaenda mbali zaidi na kusema kwamba kauli ya m/kiti wa Chadema ya kuanzisha kikundi hicho ni kinyume na Sheria.

MY TAKE.
Ni jambo bahati mbaya sana kwamba polisi sasa wamegeuka kuwa watendaji wa ccm.
Na duniani kote ilikowahi kutokea machafuko, chanzo chake ni vyombo vya dola kupendelea upande mmoja kati ya vyama vya upinzani vilivyopo.
Huko mbele tuendako tunahitaji Neema ya Mungu ili tufike salama kutokana na uonevu huu wa vyombo vya dola usiokubalika.

kumwagia watu tindikali ni polisi

bomu la soweto mlilorusha ni polisi

kumzalilisha mkuu wa wilaya igunga ni polisi

kuvamiwa kwa mama yake zito ni polisi

zito kukoswa kupewa sumu ni polisi

mauaji chacha wangwe ni polisi

We aweda usifanye watu wehu cha chenu cha majambazi na wauaji liko wazi hili.
 
vikosi vya chdm ni hatari kwa watanzania. kama DC wa igunga alipigwa na vikosi vya chdm, sisi makabwela tutanusurika?
 
Nasikiliza TBC hapa ofisini kwangu, nakutana kwa bahati na taarifa ya Saa ya TBC. Taarifa inamnukuu msemaji wa Polisi Senso akisema kwamba, hakuna chama cha siasa kinachoruhusiwa kuanzisha kikundi cha ulinzi. senso akaenda mbali zaidi na kusema kwamba kauli ya m/kiti wa Chadema ya kuanzisha kikundi hicho ni kinyume na Sheria.

MY TAKE.
Ni jambo bahati mbaya sana kwamba polisi sasa wamegeuka kuwa watendaji wa ccm.
Na duniani kote ilikowahi kutokea machafuko, chanzo chake ni vyombo vya dola kupendelea upande mmoja kati ya vyama vya upinzani vilivyopo.
Huko mbele tuendako tunahitaji Neema ya Mungu ili tufike salama kutokana na uonevu huu wa vyombo vya dola usiokubalika.
Hizi ni akili ndogo kutaka kujigeuza kuwa kubwa, Malalamiko ya Mbowe ilikuwa ni CHADEMA kukosa ulinzi na kushambuliwa ikiwemo kuuliwa kwa viongozi wake na wanachama na wafuasi wake huku vyombo vya usalama vikihusika au kushindwa kusimamia usalama wa wana CHADEMA au kutochukua hatua kwa wahusika, huyo msemaji wa polisi ingekuwa busara angetoa na mikakati ya vyombo vya usalama ambavyo vimejipanga kulinda Viongozi, wanachama na wafuasi wa CHADEMA popote pale hapa Tanzania ili haya yanayotokea sasa yasitokee tena sio kukataza pasipokutoa suluhisho la tatizo.
 
Nasikiliza TBC hapa ofisini kwangu, nakutana kwa bahati na taarifa ya Saa ya TBC. Taarifa inamnukuu msemaji wa Polisi Senso akisema kwamba, hakuna chama cha siasa kinachoruhusiwa kuanzisha kikundi cha ulinzi. senso akaenda mbali zaidi na kusema kwamba kauli ya m/kiti wa Chadema ya kuanzisha kikundi hicho ni kinyume na Sheria.

MY TAKE.
Ni jambo la bahati mbaya sana kwamba polisi sasa wamegeuka kuwa watendaji wa ccm.
Na duniani kote ilikowahi kutokea machafuko, chanzo chake ni vyombo vya dola kupendelea upande mmoja kati ya vyama vya upinzani vilivyopo.
Huko mbele tuendako tunahitaji Neema ya Mungu ili tufike salama kutokana na uonevu huu wa vyombo vya dola usiokubalika.

Mkuu Aweda,
Vyombo vinavyoitwa vya dola, huwa ni kwa ajili ya kulinda dola. Dola ni kikundi cha watu wachache wanaotawala watu wengi kwenye nchi. Kwa kiingereza chombo cha dola huitwa 'coercive apparatus'. Kinaweza kuundwa na askari POLISI, MAGEREZA, TISS, n.k. Vyombo hivi vinatambulika na jukumu lake kuu ni kulinda watawala, japo wewe unaambiwa wako kwa ajili ya kulinda wananchi na mali zao.

Ukisoma maandiko yenye mrengo wa ki- Marxist unaweza kudharau kila kitu wanachofanya au kusema watawala, kama hili la kuonya kusiwepo RED BRIGADE wakati kuna GREEN GUARDS. Vyombo vyote viwili, GREEN GUARDS na RED BRIGADE vimekuwepo muda mrefu kwa ajili ya kulinda maslahi ya vyama vya siasa.

Kwa hiyo Rais aliyepo madarakani anapokemea chombo cha chama kingine hatakiwi kusahau kwamba yeye ni Mwenyekiti wa chama chake, ambacho kwa bahati nzuri kipo madarakani. Na mwenyekiti huyu (ambaye ni Rais) atakapokuwa anakabidhi madaraka miaka ijayo atazungumzia, pamoja na mambo mengine, namna alivyoweza kuimarisha jumuiya za Chama chake, ikiwemo jumuiya ya vijana wa CCM ambao ndiyo wanaounda hiki kikosi cha GREEN GUARDS.

Mtazamo wangu mara zote ni kwamba vyama vya upinzani vinatakiwa kufanya kazi yake ya siasa. Ikibidi kujilinda kwa kutumia vikundi vyao maalum vifanye hivyo, kwani vyombo vya dola huhodhiwa na chama kilichoko madarakani. Na vyombo vya dola (coercive apparati) ni vyombo vinavyotumia mabavu kuhakikisha watawala wanabaki madarakani. TAFAKARI!
 
kumwagia watu tindikali ni polisi

bomu la soweto mlilorusha ni polisi

kumzalilisha mkuu wa wilaya igunga ni polisi

kuvamiwa kwa mama yake zito ni polisi

zito kukoswa kupewa sumu ni polisi

mauaji chacha wangwe ni polisi

We aweda usifanye watu wehu cha chenu cha majambazi na wauaji liko wazi hili.

Mkuu, ungetafakari kidogo.
Mosi, kama hayo yanafanyika basi serikali iliyopo ni dhaifu sana na wanapaswa kuachia ngazi kwa kushindwa kuwawajibisha wahalifu.

Pili, Igunga mkuu wa wilaya ndo alikuwa anafanya uhalifu na ndo maana kesi ikaenda kama ilivyoenda mahakamani.
Tatu, kuhusu Arusha mkutano ule ulikuwa unalindwa na polisi labda tuwaulize walizembeaje? Na kwa kuwa Mbowe amedai kuwa na ushahidi mwambie JK aunde tume ya kimahakama ili Mbowe apeleke ushahidi wake kule.Kuna tatizo gani hapo?

Habari ya zitto, familia yake na tindi kali naomba polisi wajibu na kama wameshindwa IGP NA waziri mwenye dhamana waachie ngazi maana hao ndo wanalipwa kwa kodi yetu kwa kazi hiyo.
 
Nasikiliza TBC hapa ofisini kwangu, nakutana kwa bahati na taarifa ya Saa ya TBC. Taarifa inamnukuu msemaji wa Polisi Senso akisema kwamba, hakuna chama cha siasa kinachoruhusiwa kuanzisha kikundi cha ulinzi. senso akaenda mbali zaidi na kusema kwamba kauli ya m/kiti wa Chadema ya kuanzisha kikundi hicho ni kinyume na Sheria.

MY TAKE.
Ni jambo la bahati mbaya sana kwamba polisi sasa wamegeuka kuwa watendaji wa ccm na kwa hata waandishi hawakuhoji kuhusu ccm kumiliki Green Guard!!!!
Na duniani kote ilikowahi kutokea machafuko, chanzo chake ni vyombo vya dola kupendelea upande mmoja kati ya vyama vilivyopo.
Huko mbele tuendako tunahitaji Neema ya Mungu ili tufike salama kutokana na uonevu huu wa vyombo vya dola usiokubalika.

the one big point they miss these morons is that they think the opposition movement is subject to threats, torture and even killings, and that they (the opposition) lack the potential to self defense or have no right to defend themselves.

kwamba nikikutana na polisi au green shyt whatever nianze kusali sala zangu za mwisho.

machafuko huanza hivi hivi.

life ni kama mchezo wa soka tu...ikitokea timu mbili ...yenye nguvu na dhaifu zikapambana, kama wale wanaidhaniwa dhaifu wakijiaminisha kuwa ni gemu ya 11 vs 11 na kwamba kila mchezaji ana miguu miwili, mikono miwili, macho mawili na hata kichwa kimoja, let's fight them, nyasi huumia.

ccm na polisi wanachezea amani ya nchi hii.
 
Hizi ni akili ndogo kutaka kujigeuza kuwa kubwa, Malalamiko ya Mbowe ilikuwa ni CHADEMA kukosa ulinzi na kushambuliwa ikiwemo kuuliwa kwa viongozi wake na wanachama na wafuasi wake huku vyombo vya usalama vikihusika au kushindwa kusimamia usalama wa wana CHADEMA au kutochukua hatua kwa wahusika, huyo msemaji wa polisi ingekuwa busara angetoa na mikakati ya vyombo vya usalama ambavyo vimejipanga kulinda Viongozi, wanachama na wafuasi wa CHADEMA popote pale hapa Tanzania ili haya yanayotokea sasa yasitokee tena sio kukataza pasipokutoa suluhisho la tatizo.

Very correct!!
 
Nasikiliza TBC hapa ofisini kwangu, nakutana kwa bahati na taarifa ya Saa ya TBC. Taarifa inamnukuu msemaji wa Polisi Senso akisema kwamba, hakuna chama cha siasa kinachoruhusiwa kuanzisha kikundi cha ulinzi. senso akaenda mbali zaidi na kusema kwamba kauli ya m/kiti wa Chadema ya kuanzisha kikundi hicho ni kinyume na Sheria.

MY TAKE.
Ni jambo la bahati mbaya sana kwamba polisi sasa wamegeuka kuwa watendaji wa ccm na kwa hata waandishi hawakuhoji kuhusu ccm kumiliki Green Guard!!!!
Na duniani kote ilikowahi kutokea machafuko, chanzo chake ni vyombo vya dola kupendelea upande mmoja kati ya vyama vilivyopo.
Huko mbele tuendako tunahitaji Neema ya Mungu ili tufike salama kutokana na uonevu huu wa vyombo vya dola usiokubalika.

WAANZE KUKAMATWA HAWA HAPA CHINI KWANZA

1072649_10201506231119942_1635550313_o.jpg

TENA SIKU HIZI WANAWAFUNDISHA HADI WATOTO WADOGO HAWA REBELS WA CCM(wanastahili kushtakiwa kwa kuwapamafunzo ya kivita watoto wadogo,ILO wako wapi?

1001654_10201506223559753_1267641986_n.jpg
 
the one big point they miss these morons is that they think the opposition movement is subject to threats, torture and even killings, and that they (the opposition) lack the potential to self defense or have no right to defend themselves.

kwamba nikikutana na polisi au green shyt whatever nianze kusali sala zangu za mwisho.

machafuko huanza hivi hivi.

life ni kama mchezo wa soka tu...ikitokea timu mbili ...yenye nguvu na dhaifu zikapambana, kama wale wanaidhaniwa dhaifu wakijiaminisha kuwa ni gemu ya 11 vs 11 na kwamba kila mchezaji ana miguu miwili, mikono miwili, macho mawili na hata kichwa kimoja, let's fight them, nyasi huumia.

ccm na polisi wanachezea amani ya nchi hii.

Acha mkwara mbuzi.
 
CHADEMA hawaanzishi kikundi cha kujilinda, wanaimarisha kikundi chao kama vile CCM walivyoimarisha Greed Guard kwa kuipa silaha za moto. CUF nao wana kikundi chao. Nadhani polisi watawabana NCCR ambao hawana kikundi cha ulinzi hivyo hawataruhusiwa kuanzisha
 
Back
Top Bottom