Polisi: Usinunue simu kwa mtu usiyemjua

Polisi: Usinunue simu kwa mtu usiyemjua

* Unapoweka salio, hakikisha karatasi ya vocha unaichana. Unapoitupa, watu wanaweza kufanya mauaji, wakachukua karatasi ya vocha ile na kuweka sehemu ya tukio au pale ulipoitupa kukatokea tukio na wewe kuhusishwa.
Hii taarifa muhimu sana..vocha hutupwa hovyo na wengi hawajui madhara yake.
 
Sio kwamba hawato mkamata muhusika bali wakati wa kutafuta ukweli wewe lazima uwe primary suspect...na hili kuondoa usumbufu na matatizo utakayo yapata ni vyema kujiepusha na yanayo semwa hapo juu!

Wakija kupata ukweli wewe utakuwa umesha sota sana na umepata usumbufu...kama unaweza kujiepusha na hayo basi zingatia!
umejibu katika fani na taaluma yako
 
Pili msisahau kuwa simu nazo zinabadilishwa dini kutoka dini moja kwenda dini nyingine nazani mafundi wanaelewa nimekusudia nn hapo
 
f1676b8b13a3de8d991e37f552635849.jpg
SALAMA WA MAISHA YAKO
Usinunue simu za Android kwa mtu usiyemjua. Hiyo ni hatari kwani hujui huyo jamaa kaitoa wapi, mwisho wa siku unapewa kesi ya wizi au mauaji. Inawezekana simu hiyo iliibiwa kwa mtu aliyeuawa.

Usimpe mtu usiyemjua simu yako apige sehemu yoyote.
Unapoiona line njiani ipo chini, usitake kuiokota na kuiweka simuni mwako ujue ina shilingi ngapi ili uchukue salio.

Simu inapoibiwa au
mwenye simu kuuawa, line hutupwa, unapoiweka simuni mwako,simuyako inahusishwa na tukio hilo
Unapoweka salio, hakikisha karatasi ya vocha unaichana. Unapoitupa, watu wanaweza kufanya mauaji, wakachukua karatasi ya vocha ile na kuweka sehemu ya tukio au pale ulipoitupa kukatokea tukio na wewe kuhusishwa.

Usikubali kumsajilia mtu line yake kwa jina lako, hata kama baba yako, usikubali.
Kumbuka namba yako umesajiliwa, moja ya matukio hayo yakitokea na namba yako kuonekana, moja kwa moja unakuwa mtuhu-miwa namba moja.

Wengi wamepewa kesi za mauaji, wizi bila kujua. Polisi wapo kazini, wanapoona vidhibiti wanakuchukua kwani hawatojua kama umehusika au la. Kuweni makini ili usije kuingia matatizoni, simu yako, fedha zako, ukifanya kisicho sahihi kama uzembe, utaishia pabaya.
SIMU YAKO JEMBE LAKO
SHARE UJUMBE HUU UMPE ONYO NA MWENZAKO.
 
6ebc190fdc9623dff90f76674609fa8e.jpg
 
USALAMA WA MAISHA YAKO

Usinunue simu za Android kwa mtu usiyemjua. Hiyo ni hatari kwani hujui huyo jamaa kaitoa wapi, mwisho wa siku unapewa kesi ya wizi au mauaji. Inawezekana simu hiyo iliibiwa kwa mtu aliyeuawa.

  • Usimpe mtu usiyemjua simu yako apige sehemu yoyote.
  • Unapoiona line njiani ipo chini, usitake kuiokota na kuiweka simuni mwako ujue ina shilingi ngapi ili uchukue salio.

Simu inapoibiwa au mwenye simu kuuawa, line hutupwa, unapoiweka simuni mwako, simu yako inahusishwa na tukio hilo.

Unapoweka salio, hakikisha karatasi ya vocha unaichana. Unapoitupa, watu wanaweza kufanya mauaji, wakachukua karatasi ya vocha ile na kuweka sehemu ya tukio au pale ulipoitupa kukatokea tukio na wewe kuhusishwa.

Usikubali kumsajilia mtu line yake kwa jina lako, hata kama baba yako, usikubali. Kumbuka namba yako umesajiliwa, moja ya matukio hayo yakitokea na namba yako kuonekana, moja kwa moja unakuwa mtuhu-miwa namba moja.

Wengi wamepewa kesi za mauaji, wizi bila kujua. Polisi wapo kazini, wanapoona vidhibiti wanakuchukua kwani hawatojua kama umehusika au la. Kuweni makini ili usije kuingia matatizoni, simu yako, fedha zako, ukifanya kisicho sahihi kama uzembe, utaishia pabaya.

SIMU YAKO JEMBE LAKO

SHARE UJUMBE HUU UMPE ONYO NA MWENZAKO.
 
_*KUTOKA JESHI LA POLICE:*_
_*USALAMA WA MAISHA YAKO*_
☆ _*Usinunue simu za Android kwa mtu usiyemjua*. Hiyo ni hatari kwani hujui
huyo jamaa kaitoa wapi, mwisho wa siku unapewa kesi ya wizi au mauaji._

_Inawezekana simu hiyo iliibiwa kwa mtu aliyeuawa._

☆ _*Usimpe mtu usiyemjua* simu yako apige sehemu yoyote._
_*Unapoiona line njiani ipo chini*, usitake kuiokota na kuiweka simuni mwako ujue ina shilingi ngapi ili uchukue salio._
☆ _*Simu inapoibiwa* au_

_mwenye simu kuuawa, line hutupwa, unapoiweka simuni mwako,simuyako inahusishwa na tukio hilo_

☆ _*Unapoweka salio,* hakikisha karatasi ya vocha unaichana. Unapoitupa, watu wanaweza kufanya mauaji, wakachukua karatasi ya vocha ile na kuweka sehemu ya tukio au pale ulipoitupa kukatokea tukio na wewe kuhusishwa._

☆ _*Usikubali kumsajilia mtu line* yake kwa jina lako, hata kama baba yako, usikubali._
☆ _*Kumbuka namba yako umesajiliwa*, moja ya matukio hayo yakitokea na namba yako kuonekana, moja kwa moja unakuwa mtuhu-miwa namba moja._

☆ _*Wengi wamepewa kesi za mauaji*, wizi bila kujua. Polisi wapo kazini, wanapoona vidhibiti wanakuchukua kwani hawatojua kama umehusika au la. Kuweni makini ili usije kuingia matatizoni, simu yako, fedha zako, ukifanya kisicho sahihi kama uzembe, utaishia pabaya._

_*SIMU YAKO JEMBE LAKO*_
 
Neshaibiwa simu nikariport polisi na Namba ya wezi nikawapa paka Leo hawajakamTwa na wanaendelea kuziiba. Hawa polisi sio wa kuwaamini kabisa
 
Na Hiv wameshafiliwa na wenzao wawili kule kibiti basi wanatafuta watu wakuwashushia zigo.
Mie hata likipita gari lao huwa sigeuki kuwaangalia mana unaweza ukaulizwa kwanini umegeuka kutuangalia ulikuwa unataka kufanya nini.
 
_*KUTOKA JESHI LA POLICE:*_
_*USALAMA WA MAISHA YAKO*_
☆ _*Usinunue simu za Android kwa mtu usiyemjua*. Hiyo ni hatari kwani hujui huyo jamaa kaitoa wapi, mwisho wa siku unapewa kesi ya wizi au mauaji._ _Inawezekana simu hiyo iliibiwa kwa mtu aliyeuawa._
☆ _*Usimpe mtu usiyemjua* simu yako apige sehemu yoyote._
_*Unapoiona line njiani ipo chini*, usitake kuiokota na kuiweka simuni mwako ujue ina shilingi ngapi ili uchukue salio._
☆ _*Simu inapoibiwa* au_
_mwenye simu kuuawa, line hutupwa, unapoiweka simuni mwako,simuyako inahusishwa na tukio hilo_
☆ _*Unapoweka salio,* hakikisha karatasi ya vocha unaichana. Unapoitupa, watu wanaweza kufanya mauaji, wakachukua karatasi ya vocha ile na kuweka sehemu ya tukio au pale ulipoitupa kukatokea tukio na wewe kuhusishwa._
☆ _*Usikubali kumsajilia mtu line* yake kwa jina lako, hata kama baba yako, usikubali._
☆ _*Kumbuka namba yako umesajiliwa*, moja ya matukio hayo yakitokea na namba yako kuonekana, moja kwa moja unakuwa mtuhu-miwa namba moja._
☆ _*Wengi wamepewa kesi za mauaji*, wizi bila kujua. Polisi wapo kazini, wanapoona vidhibiti wanakuchukua kwani hawatojua kama umehusika au la. Kuweni makini ili usije kuingia matatizoni, simu yako, fedha zako, ukifanya kisicho sahihi kama uzembe, utaishia pabaya._
_*SIMU YAKO JEMBE LAKO*_

Tunasubiri ya kibiti ya simu waachieni TCRA!
 
Neshaibiwa simu nikariport polisi na Namba ya wezi nikawapa paka Leo hawajakamTwa na wanaendelea kuziiba. Hawa polisi sio wa kuwaamini kabisa
Wako active vizuri sana kwa wananchi ambao hawana hata manati, lakini kwenye wilaya za mkoa wa Pwani huwezi kuwasikia.
 
!
!
Sijui sina uhakika kama tangazo ni kweli limetolewa na polisi. Yaani pamoja na possibilities zooooote hizo za circumstances bado tu.
 
hatakama tangazo halijatolewa na polisi... unatakiwa kuzingatia hayo yalio andikwa. ili kujiepusha na majanga. ivi chukuliatu mfano umenunua simu iliyo tumika miezi 3 ao 5katika uhalifu wowote ule. inakuaje hapo.
 
Back
Top Bottom