Njoka Ereguu
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 821
- 336
Si dhani kama hilo suala lilikuwa na cha kupeleleza wao watekeleze walichokusudia tu.
Analysis ya uhakika hii, nimeipenda sana na ndio ukweli wenyewe kwa asilimia 100, ingawa ukweli huo mchungu, wanaCCM aka magamba, hawatapenda kuumeza!!Kubalini ukweli kuwa siasa za ushindani zimewashinda!
Propaganda mnazotumia ndio zinazidi kuwapelka kuzimu au kwa maneno mengine, zinawatoa wodini na kuwapeleka ICU na mkiziendekeza zitawafikisha mortuary!
mwiguluMkuu endeleza tu na siasa zako za kipuuzi kama hujaibukia 'The Hague'. Mchungaji Mtikila alimuita Kikwete Gaidi na mahakama ikabariki hilo kwa Mtikila kushinda ile kesi.Kwa hiyo kwa mujibu wa mahakama Kikwete ni gaidi namba moja Tanzania, sasa na wewe endelea tu kutumika uone mwisho wako utakuwaje.Wako wapi akina Tylor, Gadafi, Mubarak waliotawala enzi na enzi sembuse wewe uliyeibukia huko maporini hata decade ya madaraka huna
Source star tv
Uchunguzi wa kesi ya Rwakatale imedaiwa faili lake umekamilika na jarada lake kwenda kwa DPP
Subirini muone
Hakiyanani kwa hii kesi lazima lwakatare pamoja na viongozi wengine wa Chadema waende na maji . Atakayebisha aje hapa tuwekeane dau .
Kijana inaonekana huwezi siasa za kistaharabu. Siasa sio uhuni au fitna, jifunze kujenga hoja zenye ushawishi kwa wananchi na sio kulazimishia hoja kwa kupayukapayuka. Kama hoja yako ina mantiki hata usipopayuka itaeleweka tu. Jifunze kujenga hoja zenye ushawishi toka kwa Filikunjombe na Mpina wa chama chako.Wanasiasa wa aina yako ndio mnaofanya siasa ionekane ni mchezo mchafu na wakihuni. Inaonekana wewe huwezi survive ndani ya CCM bila siasa chafu na za ghirba!! Trust me you can't survive politically beyond JK's Chairmanship.Subirini muone
DPP wewe, Mwanasheria wewe, Shahidi wewe, Mpelelezi wewe, Msemaji wa Police wewe, Hakimu wewe -- ndugu yangu kulikoni?Subirini muone
Mahakamani pagumu sana kaka, kama ushahidi hautojitosheleza hakuna kitachofanyika maana hakimu hata kama kapewa rushwa, ni lazma ushahidi uweze kuconnects dots zote bila kuacha shaka lolote. Mahakama kuu inaweza toa hukumu ya kibabaishaji ila mahakama ya rufaa itasikiliza tena hoja na kufanya maamuzi.Si dhani kama hilo suala lilikuwa na cha kupeleleza wao watekeleze walichokusudia tu.
Kesi binafsi ya Lwakatare na Ludovick ambayo chadema wanajitahidi kuifanya kesi ya chama ili wananchi wawaonee huruma kuwa chama chao kimeshtakiwa.
Subirini muone
There is no too late when is nothing to be late and not all slant can be accommodated.One day you'll wake up from this reverie when it's too late. You'll learn not be dismissive of other people's opinion
Subirini muone