Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,810
Rwakatale ndio nani tena?
Gaidi namba moja tz, teh tehe.
Rwakatale ndio nani tena?
Zemarcopolo kwani mwingulu aliposema ana mkanda unaonesha viongozi wa chadema wakipanga mauaji alikuwa na maana gani? Vitu vingine ni kutumia akili, usiwe vuvuzela kila wakati.haya nenda lumumba ukachukue shs 7000 ukale...Kesi binafsi ya Lwakatare na Ludovick ambayo chadema wanajitahidi kuifanya kesi ya chama ili wananchi wawaonee huruma kuwa chama chao kimeshtakiwa.
Mkuu, kitakachofuata ni DPP kuwalinda CCM kwa kisingizio kuwa ushahidi hautoshelezi na hivyo kesi hiyo itakuja kufutwa siku za mbeleni.
Hatua ya kupeleka faili kwa DPP ni kutimiza wajibu tu ila ukweli ni kwamba hii kesi serikali ya CCM teyari imeshindwa kabla hata kesi haijafika mbali.
CCM hili wameshaligundua na sasa wanatafuta pa kutokea na mtu pekee wa kuwaokoa ni DPP.
Subirini muone hamna kesi hapa!
watashindana lakini hawatashinda lzm siku ya mwisho tumwaibishe shetani kwani tulianza na mungu tutamaliza na mungu. Hayo magamba ikiwezekana 2014 yasifike kabisa hayawezi kushindana na nguvu ya mungu kamwe kwa hila za kifisadi na kigaidi.source star tvuchunguzi wa kesi ya rwakatale imedaiwa faili lake umekamilika na jarada lake kwenda kwa dpp
Subirini muone
Mkuu, kitakachofuata ni DPP kuwalinda CCM kwa kisingizio kuwa ushahidi hautoshelezi na hivyo kesi hiyo itakuja kufutwa siku za mbeleni.
Hatua ya kupeleka faili kwa DPP ni kutimiza wajibu tu ila ukweli ni kwamba hii kesi serikali ya CCM teyari imeshindwa kabla hata kesi haijafika mbali.
CCM hili wameshaligundua na sasa wanatafuta pa kutokea na mtu pekee wa kuwaokoa ni DPP.
Subirini muone hamna kesi hapa!
Subirini muone
Mkuu endeleza tu na siasa zako za kipuuzi kama hujaibukia 'The Hague'. Mchungaji Mtikila alimuita Kikwete Gaidi na mahakama ikabariki hilo kwa Mtikila kushinda ile kesi.Kwa hiyo kwa mujibu wa mahakama Kikwete ni gaidi namba moja Tanzania, sasa na wewe endelea tu kutumika uone mwisho wako utakuwaje.Wako wapi akina Tylor, Gadafi, Mubarak waliotawala enzi na enzi sembuse wewe uliyeibukia huko maporini hata decade ya madaraka hunaSubirini muone
Mashaka yanakuwepo kwa kuwa Polisi wanasema kuwa upelelezi umekamilika wakati hawajasema kuwa wamemhoji Mwigulu amabaye anasema ana ushahidi mzito wa kesi hiyo. Au ni mwenzao katika kupanga hilo tukio nini? Mbona......! Ah! Nilikuwa naota ndoto!Kubalini ukweli kuwa siasa za ushindani zimewashinda!
Propaganda mnazotumia ndio zinazidi kuwapelka kuzimu au kwa maneno mengine, zinawatoa wodini na kuwapeleka ICU na mkiziendekeza zitawafikisha mortuary!
Nadhani mahakama ya ccm itafanya juu chini iliaonekane kuwa anamakosa ili wapate cha kuongea kwenye chaguzi zijazo
Mashaka yanakuwepo kwa kuwa Polisi wanasema kuwa upelelezi umekamilika wakati hawajasema kuwa wamemhoji Mwigulu amabaye anasema ana ushahidi mzito wa kesi hiyo. Au ni mwenzao katika kupanga hilo tukio nini? Mbona......! Ah! Nilikuwa naota ndoto!
Subirini muone