masanjasb
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 2,364
- 869
mie napingana na wewe japo nataka haki itendeke ila kwa vile hili swala liko kisiasa sana,daima amini lolote baya linaweza tokea na magazeti yakaandika kwa week nzima,ccm inataka kufunga lwakatare ili kutimiza walichokianzisha<UGAIDI> na hii turufu ndio watakayo piga kelele nayo in 2014-kabla hawajaja na kubwa zaidi 2015.
Niwaombe tu watanzania wenzangu,hili neno ugaidi lickieni tu kwenye vyombo vya habari,tucje ombea likatokea kama wanavyotaka ccm kwani hakuna atakae pona si ccm wala cdm wote tutaumia tena wengine wataka kuwa wanaccm,acha niteme mate kabisa,ccm hawana sera waka mikakati yakushinda nguvu ya chadema zaidi ya hira na umafia