Polisi: Upelelezi wa Lwakatare umekamilika

Polisi: Upelelezi wa Lwakatare umekamilika

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
3,328
Reaction score
958
Jeshi la polisi limesema uchunguzi wa kuhusu ugaidi wa mwanachama wa chadema Ndg. Lwakatare. Sasa jaladi limeshakabidhiwa kwa mkurugenzi wa mashtaka

Je! Haki itatendeka katika usikilizwaji/uendeshwaji wa kesi hii?
Source: star tv habari usiku
 
Source star tv

Uchunguzi wa kesi ya Rwakatale imedaiwa faili lake umekamilika na jarada lake kwenda kwa DPP
 
Watatapatapa sana MAGAMBA BUT TIME WILL TELL CCM. The SECOND independence FOR TANZANIA is NEARER.
 
Tunashukuru kwa taarifa. Hukumu iwahi kutolewa ili damu za watu zinazoililia CHADEMA zipumzike huko zilipo.
 
Source star tv

Uchunguzi wa kesi ya Rwakatale imedaiwa faili lake umekamilika na jarada lake kwenda kwa DPP

Naona TBC imewapa cdm headline kwenye habari yao basi isiishie kwenye matukio hasi wa-extend kuonyesha mikutano na the like teh teh teh
 
Kumbe kesi ilifunguliwa before upelelezi kukamilika?
 
Nadhani mahakama ya ccm itafanya juu chini iliaonekane kuwa anamakosa ili wapate cha kuongea kwenye chaguzi zijazo
 
kila siku wanagalagazwa mahakaman lakin hawakon.wasubir aibu nyinginne maccm
 
Kumbe kesi ilifunguliwa before upelelezi kukamilika?

Sikulaumu huenda hujui kweli,upelelezi huwa unachukua muda mrefu sana hata hivyo huu umewahi sana maana hili ligaidi nahisi ndo lilitaka kutekeleza ile ahadi ya Arusha kua nchi isitawalike tena.Mi nilizani baada ya kauli ile wana pakukimbilia kumbe wapo tu.
 
MkombozM wa ngedere wenzio ama binadamu?
 
Last edited by a moderator:
Tunashukuru kwa taarifa. Hukumu iwahi kutolewa ili damu za watu zinazoililia CHADEMA zipumzike huko zilipo.

kweli bwana.
Wanaua watu na damu yao ikiendelea kuwafuatilia.
Bila ya aibu wanawasingizia wasiohusika/CDM.
Ccm bwana?
Badala ya kumkamata Ighond... Wana...
 
Sikulaumu huenda hujui kweli,upelelezi huwa unachukua muda mrefu sana hata hivyo huu umewahi sana maana hili ligaidi nahisi ndo lilitaka kutekeleza ile ahadi ya Arusha kua nchi isitawalike tena.Mi nilizani baada ya kauli ile wana pakukimbilia kumbe wapo tu.

tena chakushangaza bado wapo Magogoni wakiendelea kuzitafuna kodi zetu bila aibu.
Wengne majasili wanadiliki kuua hata watangazaji wa habar wasio na hatia.
Nilitegemea polccm waliomuua Mwangosi wangechukuliwa hatua.
Cc.mabepari.
 
tunashukuru kwa taarifa. Hukumu iwahi kutolewa ili damu za watu zinazoililia chadema zipumzike huko zilipo.

hii nayo lazima ccm na timu nzima ya lumumba tuwapige kanzu.
 
Kesi binafsi ya Lwakatare na Ludovick ambayo chadema wanajitahidi kuifanya kesi ya chama ili wananchi wawaonee huruma kuwa chama chao kimeshtakiwa.
 
Asante kwa taarifa chief,haw a Magamba hawa ngoja tu lazima tuwavue nguo kwenye hili move la kuchina ambalo kwa sasa limekosa mashabiki kabisa.
 
Mafisadi nawaambia mbinu zao ziko mifukoni mwa Watanzania!

Hakuna mpumbavu kama wanavyofikiri wao!

Top ni mwaka 2015 na natamani iwe ndiyo kesho asubuhi!
 
Source star tv

Uchunguzi wa kesi ya Rwakatale imedaiwa faili lake umekamilika na jarada lake kwenda kwa DPP
Mkuu, kitakachofuata ni DPP kuwalinda CCM kwa kisingizio kuwa ushahidi hautoshelezi na hivyo kesi hiyo itakuja kufutwa siku za mbeleni.

Hatua ya kupeleka faili kwa DPP ni kutimiza wajibu tu ila ukweli ni kwamba hii kesi serikali ya CCM teyari imeshindwa kabla hata kesi haijafika mbali.

CCM hili wameshaligundua na sasa wanatafuta pa kutokea na mtu pekee wa kuwaokoa ni DPP.

Subirini muone hamna kesi hapa!
 
Back
Top Bottom