kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
nadhani mahakama ya ccm itafanya juu chini iliaonekane kuwa anamakosa ili wapate cha kuongea kwenye chaguzi zijazo
ndugu kumbuka penye ukweli uongo ujitenga.
nadhani mahakama ya ccm itafanya juu chini iliaonekane kuwa anamakosa ili wapate cha kuongea kwenye chaguzi zijazo
Hata mtoto wa darasa la kwanza anajua kazi ya kung'o watu kucha na meno ni kazi ya CCM wakisaidiwa na vyombo vya dola.Mkuu, aksante kwa ujumbe wako.
Lazima CHADEMA wajifunze kufanya siasa safi na siyo kutumia maumivu ya binadamu kwa mtaji wa kisiasa
Tunategemea haki itatendeka na lwakatare na ludovick watawataja wenzao ili kukomesha kabisa ugaidi hapa nchini
Naona TBC imewapa cdm headline kwenye habari yao basi isiishie kwenye matukio hasi wa-extend kuonyesha mikutano na the like teh teh teh
Join Date : 21st April 2013Posts : 23Rep Power : 305Likes Received2Likes Given1Karibu JF ndugu naona wengi mmejiunga mwaka huu kwa kazi maalum kwa maagizo ya NAPE.Lema akishinda kesi mahakama nzuri, akishitakiwa Lwakatare mahakama ya ccm, mie nadhani tunakosea, acheni Mahakama ifanye kazi yake UONGO na UKWELI utajulikana.
Subirini muone
Nilikuwa naota ndoto tu!mkuu we na mwigulu anakunyima usingizi sana ila tuiachie mahakama itende haki.
Huhitaji kuwa na wasi wasi kama hukuwa katika kundi la Lwakatare under CHADEMA mobilizing plan. Just sit and watch the Lwakatare movie in the court room.Hata mtoto wa darasa la kwanza anajua kazi ya kung'o watu kucha na meno ni kazi ya CCM wakisaidiwa na vyombo vya dola.
Leo hii hata mtoto wa chekeche anajua kuwa Mwangosi aliuwawa na maccm!
Ovyo kabisa hawa watu na chama chao!
Kaa tu mkao wa kula upate unachokihitaji. Huwezi kumtisha nyani kwa design hii ya maneno.Kesi hii itaondoka na Mwigulu nchemba, anapenda umaarufu kwa njia chafu lakini katu hatofanikiwa
Kajitambue kwanza ili upate angalau mwanga katika ufahamu wako.Chama cha matatizo/magamba,/maizi/mashetani. Chama chenye kila aina ya uovu nchini,chama cha watu wasiojielewa.kwanza nawauliza,kwanini mafisadi wa tanzania wanaficha hela zao nje hivi atakayekufa kweli anaweza kuzipata zile hela zake,angalia sarkozi rais aliyepita kamfanya nini ghadaffi!!
Kwanini hizi hela msiwekeze nchini ili hata ukifa bila ushahidi ziwanufaishe watanzania watakokuwa wanafanya kazi sehemu mlizowekeza? Nawambia hizo hela bana kwa namna yeyote hata muue watu kwa staili gani watoto wanaozaliwa wataichukua hela hizo na watoto wenu wanatishi maisha ya wasi wasi sana ,kwani wataonekana maaduni kwenye jamii.nyie si mnaona uswiss mbali wekeni,marekani sio marafiki kama hawatozichukua hela zenu basi watazirudisha nawambieni.nchi inakufa masikini na nyie hizo hela mnawekea koo zenu hiyo sio hela yenu hela ya nchi, acha nianze michakato yangu kwanza,
Nini sasa hiki ulichoandika kama siyo kuonyesha myopic ya kiwango cha juu.Ukilipanga upya jina la Mwigulu Nchemba unapata "CHEWING LUMUMBA" wewe kweli unaitafuna Lumumba tena labda bila hata wewe mwenyewe kujua
Nini sasa hiki ulichoandika kama siyo kuonyesha myopic ya kiwango cha juu.
Mwigulu Nchemba ni kiboko yenu. Mtachonga sana.
Ingekua Polisi wa Tanzania wanafanya Upelelezi wa kesi zote haraka,........kama walivyo fanya hii ya Lwakatare,basi hata huko Magereza Mahabusu wasingekuepo!!
Ndani ya mwezi mmoja Upelelezi umekamilika! Vipi Kesi ya Polisi waliomuua Mwandishi wa habari Marehemu DAUDI MWANGOSI! Huku ushahidi ukiwa Wazi? na kuhusu waliomteka na Kumtesa Dk,Ulimboka bado tu Upelelezi haujakamilika!!
Polisi wa Tanzania huwa wako Kisiasa zaidi, nimemuona Mjinga mmoja akielezea kwamba kesi hiyo Upelelezi wake upo tayari, nilitamani ingekua nipo hapo Nimchape kwanza Vibao viwili vya Nguvu!!
Polisi kwa Kutumiwa na Kina MWIGULU MZINZI, kupora haki na Demokrasia kwa Maslahi ya CCM, wanadhani wao wataendelea Kutawala milele na Kwamba wanaweza kuzuia Mageuzi nchi hii!
Moto wa Mabadiliko uliowashwa na CDM kamwe hautazimwa kwa Propaganda na Giliba za Ccm na Wake zao Polisi!!
Enzi za Ndio Mzee zilishapita, watu wamejua haki zao! Labda polisi wamesahau kwamba hapo nyuma ilikua ukimwambia mtu hata Nisindikize Polisi nikakate hata tu Rb,asingekuelewa!
Mwambie leo mtu twende Tukachome moto kituo cha polisi, kama hujasikia akikuambia ngoja nikalete Mafuta ya taa!!
Watu wameondokewa na Uoga na sababu ya haya yote ni kuchoka kutungiwa kesi na kunyanyaswa!!!
Amani ya nchi hii ipo Mashakani kutoweka,sababu ya polisi kutofanya kazi kwa Mujibu wa sheria na badala yake wanatumikia ccm kwa kukubali kufanya kila wanaloambiwa hata kama ni kuua ili tu CCM iendelee kutunyonya!!
Ole wenu Polisi na CCM maana yaja siku ambayo Hakuna Jiwe litakalo salia juu ya Jiwe!!
MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!