ha ha ha
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 638
- 84
Wakuu,
Ni utaratibu kuwa mhalifu akibainika anapaswa kufikishwa polisi ili haki iweze kuendeka. Hii pia ni muhimu kwa ajili ya usalama wa mtuhumiwa. Ebu jionee, kweli jeshi linaheshimu haki za binadamu na usalama wa raia wake kama inavyoeleweka. hivi wanaongozwa na sheria ipi? Nani kawapa dhamana ya kupiga watuhumiwa? Nijeshi la taifa huru kweli?