Polisi Mwanamke Mwenye Pepo la Ngono Asimamishwa Kazi

Demu mwenyewe bomba hivyo, anayejua email yake anipe nimuunganishe na mwanaume mwenye pepo kama yeye.

Kweli hilo ni pepo la ngono mkuuu. Kwa nini asiolewe tu, akate mzizi wa fitina?? Anajipotezea heshima ya kuolewa kwa kufanya umalaya na umri mdogo, eti 19 years. Poor her!
 
506692-sex-offer-claims-039-all-lies-039-.jpg





01194251.jpg

01154543.jpg


Jessica Parfrey outside court.


Mrembo kama huyu angekuwa hapa Bongo mbona maafisa wetu wenge mfaidi sana na punde tu engepadishwa daraja.

wasiwasi wangu picha ya tatu, askari mwanmume kusindikiza mwanamke mahakamani sio sawa.

Kapelo kateremsha chini sana kuficha uso/sura yake anaogopa nini????

Mkono wa kushoto mfukoni mwa sarawili, polisi hatukufundishwa kutembea na mkono mfukoni sio ukakamavu wa kipolisi.

Hiyo picha ya tatu inaongea sana iko very loud,
 
huyu damu bado inamchemka.....

anajiexpress sema wenyewe hawamsikilizi bana

wangemleta huku kwetu dah...
 
natamani kutukana pia!...but hivi kwa aakili zao timamu kabisa unamuuita afisa wa police mtu ana miaka 19? haya tujiulize alianza kazi na miaka mingapi? huyu yupo kwenye foolish age na anafanya kazi na watu wazima ambao mda wote wamemzidi convincing power na uwezo wa kila hali!...kumbukeni msichana kama huyo alitakiwa kuwa kidato cha nne hapa nchini naleo unampa uafisa wa police..haya jiulizeni ni wanafunzi wangapi wa umri wake wanatumiwa na makodacta na madereva wa daradarahapa nchini kwa kigezo cha kutokuwa na maamuzi sahihi kuhusu miili yao!...kwa mm na mawazo yangu mafinyu sioni kuwa amekuwa akibehave hivyo kwa sababu ya kupenda bali ni zaidi ya kupenda!...kuna ushahidi wa kutosha KABISA HAPA TANZANIA KUNA WASICHANA WENGI WANTUMIKA JESHINI KAMA KIBURUDISHO CHA WAKUBWA.....Kama unabisha fuatilia wale wote walioingia kupitia depo za michezo ambao ni mere fprm 4 leavers....they are being used na mara zote wakigoma huwa wanatengenewa zengwe ikiwa ni pamoja na kuhamishwa vikosi au kambi!.....logic hapa ni kwa umri wake hakufaa kutekeleza majukumu alokuwa nayo sasa!..vijana wengi wa ulaya huo ndo mda wao wa kuenjoy na kutokana wanaume wapendavyo!.....
 
Hatua ya kumfukuza kazi si nzuri sana wangemuamishia ata apo Urafiki ili iwe karibu
na pale kwa father PASTOR HUMMER amuombee angebadilika tu ana pepo mbaya wa ngono ambaye anaitaji maombi
 
well said..nini IGP .angepewa u kamishna wa kitengo maalum pale IKULU...
 
kidato cha 4 hapa kwenu si akili zetu zimeganda mpaka midevu inakuota bado uko primary.....ukichanganya na ukomavu wa kutembea kwenda shule kilometa 50 kwa siku mwara 12 months mara 7 years.......hahaaaa
 
Comments za watu,yaani inaonyesha Bongo suala la ngono ndo kipimo cha kazi.Once again,dalili za kupeperusha bendera upside down matching with our priorities
 
viongozi nz watendaji wetu wabongo nao washughulikiwe kwani uzinzi umejaa katika taasisi za bongo pia
 
Back
Top Bottom