Polisi, Muda si mrefu mtakimbia na Kuziacha Bunduki zenu na kuvua Magwanda

Wanayoyafanya Polisi wa Tanzania ni zaidi ya ddhuluma. Siro, sijui utaficha wapi sura yako na nafsi yako watanzania watakaposema basi na dhulma unazowatendea watanzania.

Mnafanya matendo yenye laana bila woga. Mna waua raia wasio na hatia. Mna wanyanganganya watanzania haki zao mchana kweupe. Kazi zenu ni kuwalinda. Punde mtasaga meno bila kujua pa kukimbilia.

Kwa matendo yenu, tambueni, kwamba hakuna jeshi ambalo limewahi kuwashinda raia. Jeshi la raia lisilo na bunduki lina nguvu kuliko bunduki zenu.

Ukombozi huko njiani watu wamechoshwa na dhuluma zenu
Wakumbuke ya misiri,vifaru vilishindwa kwa ngugu ya uma
 
Wakumbuke ya misiri,vifaru vilishindwa kwa ngugu ya uma
Misri kulikuwa na nguvu ya umma kweli kweli TZ kuna nguvu ya midomo sana,hakuna wa kupambana hata na stick.

Misri walipata silaha na misaada kutoka nje kwa sababu walikuwa serious na wanachokiongea TZ hata pini hawana kwa sababu wanachokiongea ni tofauti kabisa na wanachotenda
 
Polisi wakikimbia na kuacha silaha nini kitafuata?ok hiyo chadema haitakuwa na polisi?kama ikitokea bahati mbaya wakafanikiwa kuongoza nchi unafikiri hawatakuwa na upinzani?Polisi wameuziwa skendo tena iliyopangwa maksudi na mwenyekiti wa Chadema Polisi lazima wapongezwe kwa kuokoa mauaji maana ingekuwa nchi fulani tungekuwa tunazungumzia mauaji lukuki.
Unatumia kichwa au?
 
Halafu polisi mnavyofanya haya mnasahau na ninyi mnafamilia tena mnaishi nazo uraiani ambapo hawa hawa raia mnawafanyia dhuluma,kitendo kilichofanyika hakikubaliki "Mwigulu must go, IGP Must go and Mambosasa must go
 
Mimi ninachokijua ni pale hayati mwalimu aliposema ukiona utawala unatumia maaskari wanaolipwa mishahara kwa kodi za wananchi kuwashughulikia wananchi haohao ujue iko shida. Hivi tuulizane mimi ndiye tax payer ambaye survival yako inatoka na na kodi ninayo ilipa nitakapikataa kulipa kodi hiyo nguvu utapata wapi? Tumsifu Yesu Kristu
 
Hongera makonda kwa kuyakarabati magari ya polisi, hawa washenzi ingekuwa ngumu sana kuwadhibiti,
Kuna Siku hao washenzi utawatafuta hutawaona wakati yamekukuta yaliokuwa yanawakuta hao washenzi
 
Hongera makonda kwa kuyakarabati magari ya polisi, hawa washenzi ingekuwa ngumu sana kuwadhibiti,
Ukiwaita washenzi nina uhakika ukoo wako wote ni cdm na hata baadhi ya wazazi na marafiki zako wengi ni cdm au cuf! Kwa maana nyingine unaassocite na washenzi basi nawe ni mshenzi! Jifunze kuliattack kundi na sio kulivamia kiccm, utakuja juta hasa ukipata shida ya kuwahitaji uliowaita washenzi kukupiga tafu!
 
Hao sio police tz hao ni policeccm tz,wanalinda madaraka ya ccm wenzao..ndio mana wakistaafu wanagombea nafasi za kisiasa ccm angalia kova,tabaigana,mahita etc
 
Back
Top Bottom