Polisi, Muda si mrefu mtakimbia na Kuziacha Bunduki zenu na kuvua Magwanda

Wanayoyafanya Polisi wa Tanzania ni zaidi ya ddhuluma. Siro, sijui utaficha wapi sura yako na nafsi yako watanzania watakaposema basi na dhulma unazowatendea watanzania.

Mnafanya matendo yenye laana bila woga. Mna waua raia wasio na hatia. Mna wanyanganganya watanzania haki zao mchana kweupe. Kazi zenu ni kuwalinda. Punde mtasaga meno bila kujua pa kukimbilia.

Kwa matendo yenu, tambueni, kwamba hakuna jeshi ambalo limewahi kuwashinda raia. Jeshi la raia lisilo na bunduki lina nguvu kuliko bunduki zenu.

Ukombozi huko njiani watu wamechoshwa na dhuluma zenu
Kama unamzungumzia malaika Aquilina, that was a freak accident.

Chill NYANGA'U.
 
Wanayoyafanya Polisi wa Tanzania ni zaidi ya ddhuluma. Siro, sijui utaficha wapi sura yako na nafsi yako watanzania watakaposema basi na dhulma unazowatendea watanzania.

Mnafanya matendo yenye laana bila woga. Mna waua raia wasio na hatia. Mna wanyanganganya watanzania haki zao mchana kweupe. Kazi zenu ni kuwalinda. Punde mtasaga meno bila kujua pa kukimbilia.

Kwa matendo yenu, tambueni, kwamba hakuna jeshi ambalo limewahi kuwashinda raia. Jeshi la raia lisilo na bunduki lina nguvu kuliko bunduki zenu.

Ukombozi huko njiani watu wamechoshwa na dhuluma zenu
Polisiccm ni shiiiiida, CCM bila polisiccm ni weupe sana hawana nguvu.
 
Hakuna jeshi lililowahi kusalimu amri kwa wahuni. Wanaofanya vurugu mpaka vinatokea vifo vya wasio na hatia kama akina Acquilina ni wahuni sio RAIA.
 
Wamejisahau Sana ngoja tuwakumbushe ebu wajitafakali udumazao zipo wapi watoto wao wanasoma wapi watu wakichoka watawapotezea familia zenu watabomoa nyumba zenu wata wazulu ndugu zenu wataalibu kilakitu chenu lengo mkose fraaa
Polisiccm wanajua nguvu ya wananchi ingawa wamejitoa fahamu kuwaonea wananchi lakini wajue ipo siku wale polisiccm wanaoishi uswahili, mitaani na kwingineko watakuja kuonja machungu siku moja wapate kujua kuwa watanzania wanechoka kunyanyaswa.
 
Wanayoyafanya Polisi wa Tanzania ni zaidi ya ddhuluma. Siro, sijui utaficha wapi sura yako na nafsi yako watanzania watakaposema basi na dhulma unazowatendea watanzania.

Mnafanya matendo yenye laana bila woga. Mna waua raia wasio na hatia. Mna wanyanganganya watanzania haki zao mchana kweupe. Kazi zenu ni kuwalinda. Punde mtasaga meno bila kujua pa kukimbilia.

Kwa matendo yenu, tambueni, kwamba hakuna jeshi ambalo limewahi kuwashinda raia. Jeshi la raia lisilo na bunduki lina nguvu kuliko bunduki zenu.

Ukombozi huko njiani watu wamechoshwa na dhuluma zenu
usha kaa congo hata siku moja.naona unaongea kama uliyekosewa mara 70
 
Hakuna jeshi lililowahi kusalimu amri kwa wahuni. Wanaofanya vurugu mpaka vinatokea vifo vya wasio na hatia kama akina Acquilina ni wahuni sio RAIA.
Acha ushamba wako, Uhuni upi? Kudai haki ni uhuni? Wiki mbili mawakala wanadai barua hamtaki kutoa mlitaka chadema wakae kiimya? Kipimo chako cha Uhuni ni cha kishamba sana, huko CCM mmejaa washamba wengi ndiyo maana haki za watu mnaziona ni vurugu, chanzo cha vurugu ni CCM kufanya njama za uchakachuaji lakini cha ajabu hao CCM ndiyo huleta lawama za kijinga jinga tena.
 
kwa hili lililotokea upinzani kuendelea kushirikiana na polis ni unafiki wa hali ya juu sana
kwani lini chadema imewahi kuwa na ushirikiano na polisi? wanawatukana kila siku.Polisi wameuawa kibao kibiti chadema hawakutoa ushirikiano hata wa kuwapa pole tu sana sana waliwaponda
 
Kwa vitendo polisiccm wanavyowafanyia wananchi hakuna mpinzani anaweza kuwapenda Tanzania, sahau hata polisiccm wafe 10000 ni vigumu Wapinzani kutoa pole.
 
Watu watakapoanza kuvaa mabomu na kujitoa mhanga ndo watatia akili na kujua kuwa kumbe walikuwa wanafanya makosa.

Muda huo sizonje kashakimbia ughaibuni na familia yake.
 
Acha ushamba wako, Uhuni upi? Kudai haki ni uhuni? Wiki mbili mawakala wanadai barua hamtaki kutoa mlitaka chadema wakae kiimya? Kipimo chako cha Uhuni ni cha kishamba sana, huko CCM mmejaa washamba wengi ndiyo maana haki za watu mnaziona ni vurugu, chanzo cha vurugu ni CCM kufanya njama za uchakachuaji lakini cha ajabu hao CCM ndiyo huleta lawama za kijinga jinga tena.

Agenda ya upinzani Tanzania haijulikani!
 
Kwa vitendo polisiccm wanavyowafanyia wananchi hakuna mpinzani anaweza kuwapenda Tanzania, sahau hata polisiccm wafe 10000 ni vigumu Wapinzani kutoa pole.
basi endelezeni bifu na polisi itajulikana mbele kwa mbele mshindi nani nyie endeleeni tu
 
Wanayoyafanya Polisi wa Tanzania ni zaidi ya ddhuluma. Siro, sijui utaficha wapi sura yako na nafsi yako watanzania watakaposema basi na dhulma unazowatendea watanzania.

Mnafanya matendo yenye laana bila woga. Mna waua raia wasio na hatia. Mna wanyanganganya watanzania haki zao mchana kweupe. Kazi zenu ni kuwalinda. Punde mtasaga meno bila kujua pa kukimbilia.

Kwa matendo yenu, tambueni, kwamba hakuna jeshi ambalo limewahi kuwashinda raia. Jeshi la raia lisilo na bunduki lina nguvu kuliko bunduki zenu.

Ukombozi huko njiani watu wamechoshwa na dhuluma zenu
Unamsema Sirro,

Ngoja nikukumbushe historia.

Wakati wa Mkapa alikuwepo IGP anaitwa Mahita a.k.a Afande Ngunguri....
Aliwatembezea mtiti Cuf balaa. Na wakati Cuf walikuwa ngangari...tena ngangari kweli...amsha amsha ya ngangari Chadema hawajawahi kuifikia.

Leo Mahita yupo anadunda kwa amani kabisaaa.
 
Back
Top Bottom