Polisi, Muda si mrefu mtakimbia na Kuziacha Bunduki zenu na kuvua Magwanda

Nairobian

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
873
2,277
Wanayoyafanya Polisi wa Tanzania ni zaidi ya ddhuluma. Siro, sijui utaficha wapi sura yako na nafsi yako watanzania watakaposema basi na dhulma unazowatendea watanzania.

Mnafanya matendo yenye laana bila woga. Mna waua raia wasio na hatia. Mna wanyanganganya watanzania haki zao mchana kweupe. Kazi zenu ni kuwalinda. Punde mtasaga meno bila kujua pa kukimbilia.

Kwa matendo yenu, tambueni, kwamba hakuna jeshi ambalo limewahi kuwashinda raia. Jeshi la raia lisilo na bunduki lina nguvu kuliko bunduki zenu.

Ukombozi huko njiani watu wamechoshwa na dhuluma zenu
 
Wanayoyafanya Polisi wa Tanzania ni zaidi ya ddhuluma. Siro, sijui utaficha wapi sura yako na nafsi yako watanzania watakaposema basi na dhulma unazowatendea watanzania.

Mnafanya matendo yenye laana bila woga. Mna waua raia wasio na hatia. Mna wanyanganganya watanzania haki zao mchana kweupe. Kazi zenu ni kuwalinda. Ounde mtasaga meno

Binafsi nimehuzunishwa sana kwa matendo ambayo polisi wanawafanyia wananchi. Kwa ufupi tu niseme upinzani wasahau kushika madaraka kwa njia upigaji kura baada ya kuona sarakasi zilizotokea kwenye chaguzi ndogo mwaka jana na chaguzi hizi za mwaka huu haswa kwa jimbo la Siha na Kinondoni na nadhani hii ni mwanzo tuu picha kamili tutaliona mwaka 2020.

Hiyo ya kusema sijui nguvu ya umma ikiamua kitu hao viongozi wataficha wapi sura yao siioni ikitimia leo wala kesho sababu watanzania ni waoga sana hutuwezi jifananisha na ndugu zetu wakenya hapo jirani so sioni nguvu ya umma kuchukua maamuzi hivi karibuni labda miaka 30 ijayo.
 
Wanayoyafanya Polisi wa Tanzania ni zaidi ya ddhuluma. Siro, sijui utaficha wapi sura yako na nafsi yako watanzania watakaposema basi na dhulma unazowatendea watanzania.

Mnafanya matendo yenye laana bila woga. Mna waua raia wasio na hatia. Mna wanyanganganya watanzania haki zao mchana kweupe. Kazi zenu ni kuwalinda. Ounde mtasaga meno
ungetaja na location ulipo..ili.iwapo itatokea tuje tukupongeze
 
Dah...mchakamchaka huu ukipigwa kwa miaka 50 hivi itakuwa poa sana...kizazi cha wapigaji kitakufa kiasili....nchi itarudi mstarini...Mungu ibariki bongo
 
Hongera makonda kwa kuyakarabati magari ya polisi, hawa washenzi ingekuwa ngumu sana kuwadhibiti,
 
Wamejisahau Sana ngoja tuwakumbushe ebu wajitafakali udumazao zipo wapi watoto wao wanasoma wapi watu wakichoka watawapotezea familia zenu watabomoa nyumba zenu wata wazulu ndugu zenu wataalibu kilakitu chenu lengo mkose fraaa
 
Back
Top Bottom