Duuuh, pole sana kama hujui lugha ya maandishi,ulitegemea hadi aseme. Wewe kwa akili zako unadhani polisi hapajui akaliseme hili aliloliweka humu ......Humu kaomba ushauri,japo ajaandika lakini maelezo yake yanajieleza hivyo.

Asante wewe unaejua lugha ya maandishi, ambayo sijui ni lugha gani hiyo. Inaonekana u mjuvi wa lugha ya maandishi, hebu tusaidie kumshauri huyu mtoa post.
Hivi hizi fujo tulizofanyiwa leo barabarani na hawa wanaojiita WCB wakiongozwa na diamond platnumz wakitoka kumpokea mwenzao Rayvanny mmeziona au wenyewe wapo juu ya sheria maana bado kidogo tu nipate ajali kwa sababu ya waliyokuwa wanafanya barabarani
Asante wewe unaejua lugha ya maandishi, ambayo sijui ni lugha gani hiyo. Inaonekana u mjuvi wa lugha ya maandishi, hebu tusaidie kumshauri huyu mtoa post.
Kuna vijana walikua wamekaa kwenye madirisha ya magari....yaan makalio na kiuno ndani..miguu nje...then wamarundikana..gar zko speed plus bodaboda..hatar tupu
Mkuu hii issue inakutoa povu bure, we potezea iko nje ya uwezo wako kuielewa. Nadhani we sio moja ya wale wachache niliosema wataielewa post ya mtoa mada, ndio maana umeichukulia comment yangu personal. Relax and take it easy.
Duuuh, pole sana kama hujui lugha ya maandishi,ulitegemea hadi aseme. Wewe kwa akili zako unadhani polisi hapajui akaliseme hili aliloliweka humu ......Humu kaomba ushauri,japo ajaandika lakini maelezo yake yanajieleza hivyo.
Sina timu na nazipenda nyimbo zao lkn sheria za barabaran lazima ziheshimiwe, walikuwa wanapita katkat ya barabara kwa speed sana as if wanatumia barabara peke yao na hapo sijui kama walikuwa na kibali au hawakuwa na kibali,kama ingetokea ajali ingekuwa vp