Polisi Mko Wapi??Majambazi Wanatumaliza

Operesheni maalumu lazima ifanywe na polisi kuwinda majambazi, ukweli ni kwamba hawa wanajulikana kabisa mitaani, lakini cha ajabu hamna kinachofanywa.Ndio maan najiuliza, mkuu wa polisi Dar anafanya nini?
 
What about you? To call yourself Mwana wa Mungu sums it all.

yaani wewe kufurahia wenzio kuuawa bado tu unabishana na watu, roho gani hiyo uliyonayo mwanadamu wewe? duh! we jamaa huna akili kabisa, yaani aliyeonyesha kufurahia kifo cha hawa watu kwenye JF yote ni wewe peke yako...unaleta mkosi bwanaaaa, jirekebishe.
 
Police darasa la saba au form IV failure,the then mkuu wa jeshi nalisikia ni darasa la 7,na sehemu kubwa ni wa level hiyohiyo,ukienda form VI ,wanasema huna nidhamu...hata kupiga saluti shida...dah,,!!!!,BONGO.Wanaishi katika vibanda vya kuku na familia zao,mshahara huwatoshi.Wakipewa bia za bure ndio nyamazisho la kila kitu.Halafu eti waja laumu police
Shughuli tunayo,kila kona kuna uozo.Anywayz,no way...siwezi kuishi huku milele....Bongo ndio home......Nitarudi tu.I love the country,raia wema.....n I hate the politicians
MwenyeziMungu Ibariki Tanzania.
 
Nani aliyekwambia anafurahia? I@dio@ts****** and myopic people like you who can not understand even if they know how to read.
 
Si walisema JK ni chaguo la mungu? Wacha wauawe tu hadi pale watakapopata akili ya kuondoa msukule pale Magogoni.

brother, read for yourself what you have written here. umeonyesha uchungu wowote kwa hawa wanadamu wenzio kuuawa kikatili? soma vizuri post yako, halafu angalia post za watu wengine wooote ulinganishe na ya kwako...
 
Kwa hiyo ukweli usisemwe kwa sababu wapo wana JF/Wafiwa?]

Yaani wewe una matatizo kweli!! Kwa hiyo unaona hayo maneno yako uliyoyasema ya 'acha wauawe hadi watakapomtoa....' ndio ukweli?
Unajuaje kama hawa vijana walimpa nani kura zao?

Inawezekana kuna pointi fulani ulitaka kufikisha hapa lakini maneno uliyotumia si sahihi.

JF imevamiwa siku hizi.
 
Police darasa la saba au form IV failure,the then mkuu wa jeshi nalisikia ni darasa la 7,na sehemu kubwa ni wa level hiyohiyo,ukienda form VI ,wanasema huna nidhamu...hata kupiga saluti shida...dah,,!!!!,BONGO.Wanaishi katika vibanda vya kuku na familia zao,mshahara huwatoshi.Wakipewa bia za bure ndio nyamazisho la kila kitu.Halafu eti waja laumu police
Shughuli tunayo,kila kona kuna uozo.Anywayz,no way...siwezi kuishi huku milele....Bongo ndio home......Nitarudi tu.I love the country,raia wema.....n I hate the politicians
MwenyeziMungu Ibariki Tanzania.

Nalaani sana ujambazi na ninataka hii Wizara husika apewe mheshimiwa Magufuli na akipatikana jambazi hakuna kesi, ni apigwe risasi tu. Wakipelekwa mahakamani wanahonga maana wana base nzito sana ya hela au zao ama za wale maboss wa ujambazi. Hapo kwenye highlight zingatia, elewa kama unazungumzia mkuu wa jeshi la polisi la sasa IGP Mwema ni msomi, si darasa la saba. Tafadhali fafanua sentensi yako vingnevyo kama unamlenga yeye ni vema uombe jukwa hili radhi kwa kushusha hadhi ya elimu ya IGP Saidi Mwema. Hapa huwa tunazungumza kwa facts na si kwa maneno ya kusiki aambayo huna ukweli nayo. Here we dare talk openly but with facts and verifications!
 
Nalaani sana ujambazi na ninataka hii Wizara husika apewe mheshimiwa Magufuli na akipatikana jambazi hakuna kesi, ni apigwe risasi tu.

...............it doesnt work like this.................
 
Back
Top Bottom