Polisi, bunduki Hanang ni za nini?

Uliza watu dar wakuelimishe ajali ikitokea iwe ya gari ,treni,au moto au mafuriko Kwa Nini askacari huenda na bunduki?

Wewe jambazi na majambazi wenzio mlitaka kupora waathirika wa mafuriko hapo Hanang

Leo utalala njaa polisi wenye bunduki wamedhibiti
Camera zinapigwa sogea uone camera inakupiga jambazi wewe
 
Nilidhan vikosi vikazanie UOKOZI na kuwajengea makazi waathirika. Badala yake Ni mwendo wa kupiga picha na kuzunguka na Mabunduki.
Bunduki kazi yake kudhibiti majambazi na vibaka wapora waathirika wasipore Chao

Camera za kupiga picha za Kila jambazi atakayetaka kupora mali za waathirika na waalokoajl ili wajue jambazi nani na muokoaji halisi nani usiogope bunduki Wala kamera kama wewe ni raia mwema.Bunduki au kamera kama unaogopa jambazi wewe Kwa taarifa Yako bunduki zitabaki hapo na kamera zitakaa hazitoki

Katafute sehemu ingine ya ujambazi wako huko Kwa waathirika limebuma
 
Lengo la hawa magaidi wa mtandaoni ni kutaka kujenga dhana kuwa 'Watanzania' hatujui tunachokifanya.

Hawa majamaa wanafikiri upazaji wao wa makelele(shaming and call- outs) kutachochea mabadiliko wakati kiuhalisia hawaleti tija yeyote ile zaidi ya kukashifu.
 
Kwa hiyo hawakwenda kuokoa badala yake wamekwenda kuua?
Vyote wanafanya kuokoa na kuua vibaka na majambazi waporaji wanaokoa wakiwa na bunduki na camera zikipiga kama Kuna kibaka au jambazi wanapewa amri ya Kuna huyo kibaka mbele Yako unaokoa mwathirika anapora godoro la mwathirika mtandike risasi Kisha endelea na uokoaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…