connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,840
- 3,909
Kuku wa pale ni Noma. Sijui kwann Jamaa hafungui goli lingine hata kule Lake BabatiKwa Kabila Babati Kuku nadra kipindi hiki
Kuku wa pale ni Noma. Sijui kwann Jamaa hafungui goli lingine hata kule Lake BabatiKwa Kabila Babati Kuku nadra kipindi hiki
Labda maelekezo ya NdumbaKuku wa pale ni Noma. Sijui kwann Jamaa hafungui goli lingine hata kule Lake Babati
Una akili mkuuhizi disasters zinapelekea panic, jamii nzima inakuwa kwenye taharuki. Ikifikia point hiyo lolote linaweza kutokea na kusababisha uvunjifu wa amani.
Full Torch.