wababayangu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 813
- 1,107
Mkuu vijana wa chadema wamefundishwa kupinga kila kitu. Hivyo wala usiwashangaeHuelewi kazi ya bunduki ya polisi kwenye maafa?
Njoo Dar upinduke na gari au daladala ipinduke vibaka hawahangaiki kuokoa majeruhi Wala kubeba maiti ni kupora tu na ku search mifukoni Hadi maiti kuchukua pochi Simu Hadi viatu ,nguo na chupi watauza kama mitumba.waweza Kuta daladala abiria wote wako uchi wa mnyama kuanzia walio wazima,majeruhi Hadi maiti polisi wakichelewa kuwahi na bunduki zao
Kama ni nyumba mfano imevamiwa na maji au moto vibaka watawahi kubeba Hadi magodoro ,Vitanda ,TV,makochi nk hata yawe yamejaa maji na kutokomea kusikojulikana
Wewe mleta mada ni kibaka mia Kwa mia ulitaka askari wasije na bunduki upore jambazi wewe
Askari wamekudhibiti