Uliza watu dar wakuelimishe ajali ikitokea iwe ya gari ,treni,au moto au mafuriko Kwa Nini askacari huenda na bunduki?Acha uongo wewe ,kwanza mmesubiri maji yamepoa ndio mkafika eneo la tukio na mavitambi vyenu!
Nendeni shule wengi wenu hamna vyeti ,sehemu ya kutumia akili mnatumia maguvu! Panya road wamewashinda mtaweza maji yenye matope!
Nipo hapa madongo kuinama!
Wewe jambazi na majambazi wenzio mlitaka kupora waathirika wa mafuriko hapo Hanang
Leo utalala njaa polisi wenye bunduki wamedhibiti
Camera zinapigwa sogea uone camera inakupiga jambazi wewe