😅😀Kuna mtu aliandika humu kuwa hiyo kada ndiyo yenye akili ndogo kuliko hata 🐕🦮
Mkuu unacheka!! Naitafuta ile post siioni niliyaka niiweke hapa
Kubeba bunduki kunazuia usifanye uokozi kwako What Thinking, je una data ya waliokolewa hadi sasa??Nilidhan vikosi vikazanie UOKOZI na kuwajengea makazi waathirika. Badala yake Ni mwendo wa kupiga picha na kuzunguka na Mabunduki
Salute kwao....Wazee wa MBUGANI....Himaaaa
UtaionaMkuu unacheka!! Naitafuta ile post siioni niliyaka niiweke hapa
Huyu naye anatafuta nini humu
MwiliHuyu naye anatafuta nini humu
Manyara sioMwili
Huelewi kazi ya bunduki ya polisi kwenye maafa?Nilidhan vikosi vikazanie UOKOZI na kuwajengea makazi waathirika. Badala yake Ni mwendo wa kupiga picha na kuzunguka na Mabunduki
Aibu naona mmNilidhan vikosi vikazanie UOKOZI na kuwajengea makazi waathirika. Badala yake Ni mwendo wa kupiga picha na kuzunguka na Mabunduki.
Acha uongo wewe ,kwanza mmesubiri maji yamepoa ndio mkafika eneo la tukio na mavitambi vyenu!Huelewi kazi ya bunduki ya polisi kwenye maafa?
Njoo Dar upinduke na gari au daladala ipinduke vibaka hawahangaiki kuokoa majeruhi Wala kubeba maiti ni kupora tu na ku search mifukoni Hadi maiti kuchukua pochi Simu Hadi viatu...