kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,207
- 7,364
Usiamini maelezo ya Askari,So kama alikuwa anang'ang'ania silaha alitegemea nini zaidi ya askari kujilinda? Sometimes tusiwe mashabiki tu. Poleni kwa familia.
Safi sana, Askari ni shujaa anatakiwa apandishwe cheo...!Kijana Richard Peter Lombo (29) ameuawa na polisi wilayani Arumeru kwa kupigwa Risasi kifuani akiwa ndani ya Kituo cha Polisi Usariva Mkoani Arusha baada ya kufikishwa hapo akituhumiwa kwa uhalifu.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Longinus Tibishubwamu akizungumzia tukio hilo kwa Njia ya simu amesema kuwa kijana huyo alikuwa kibaka na alitaka kuchukua silaha ya askari lakini katika mvutano huo ukasababisha risasi kufwatuka jambo ambalo kaka yake Issa Juma amesema kuwa ameshuhudia askari akimfyatulia ndugu yake huyo risasi ya kifuani na kufariki papo hapo.
Ndugu wa kijana huyo wakiwemo wazazi wake wamemtaka waziri wa mambo ya ndani ,Kangi Lugola kuja mkoani hapa kufuatialia tukio hilo kwani kinachoelezwa na kaimu kamanda in uongo mtupu na unalenga kuipotosha jamii.
Familia imegoma kuuzika mwili wa kijana wao uliipo Mochware wakilalamikia unyama uliofanywa na askari hao wasiofuata na kuzingatia maadili ya Kazi yao kwa kufanya mauaji ndani ya kituo hicho cha Polisi bila woga na kudanganya kuwa alitaka kuwapora silaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hucheka kovu asiyefikwa na jerahaSo kama alikuwa anang'ang'ania silaha alitegemea nini zaidi ya askari kujilinda? Sometimes tusiwe mashabiki tu. Poleni kwa familia.
Hebu kweli tujiulize,kuna watu wabishi sana..why kibaka afanye hivyo
Pole ya kinafiki. Bora ungepiga vigelegele kuliko kutoa pole ya aina hiiSo kama alikuwa anang'ang'ania silaha alitegemea nini zaidi ya askari kujilinda? Sometimes tusiwe mashabiki tu. Poleni kwa familia.
Kwa kuwa si ndugu yako huwezi kuwa na uchungu wowote. Dunia hii inazunguka haraka sana. Ipo siku kama sio zamu ya ndugu yako, basi yako mwenyeweUna uhakika gani kama polisi walimpiga kwa maksudi? Acheni biases
Ulikuwepo wakati ana n'gan'gania hiyo siraha?Hii imekaa vibaya sana!!
Ila kwanini raia tunaleta mazoea ya kijinga hivi kwa askari wetu,eti bila woga mtu unajaribu kupora silaha ya askari aliyeiva kimafunzo(well trained policeman).
5/5
Well saidMagu aliwapa go ahead ya kuua! Clip zipo za ushahidi. Kibaka hawezi kufanya fujo kituo cha polisi, huo ni uongo! wamemuua kwa vile walihakikishiwa hawatashitakiwa na watapandishwa vyeo!
Hii imekaa vibaya sana!!
Ila kwanini raia tunaleta mazoea ya kijinga hivi kwa askari wetu,eti bila woga mtu unajaribu kupora silaha ya askari aliyeiva kimafunzo(well trained policeman).
5/5
Wewe una uhakika gani kama hakung'ang'ania na anasingiziwa?Unauhakika gani aling'ang'ania silaha??
Kuna sehem nimesema Nina uhakika hajafanya hivyo na amesingiziwa??