gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 6,174
- 6,816
Usijifanye hujui yako mambo yakusingiziwa pia,ata hivyo mtu kua kibaka adhabu yake sio kuuliwa kwa risasi.mahakama na magereza ziko kazi gani sasa.Jeshi la polisi halina uadilifu wowote wakutetewa.Wakati mwingine usijifanye hayawezi kukukuta hii ni dunia ndugu.
Wangetaka yasimkute haya wangemkanya ndugu yao asiwe kibaka.... hawakumdunza, sasa amefunzwa na ulimwengu!! RIP kibaka...
Sent using Jamii Forums mobile app